TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

Embu nitajie mtu hata mmoja aliyewahi kusaidiwa na Manengelo.

Ila ww kama unaoenda amani ya nafsi yako basi nakuomba uniambie wangap walichanga then nikulipe leo hii!
Kumbe kuna mambo mengi yanakusumbia moyoni mwako...! Eti kila mishe nimefanya...! Sasa hata km nadanganya unahis nafaidika na nn?...unadhan mie ndo wakuletewa hela za matumizi! Bora ujoin tu ! Acha hasira zisizo na maana!... Ila nakupa pole!...
 
Mkuu, kwanza sitaki nieleweke vibaya kwa watu kwamba nina kutetea. Lakini mimi sikuzote huwa nasimamia kile ninacho kiamini, hii haijalishi hata kama kuna mtu ataumia kutokana na msimamo wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app


Huwezi nitetea..mi mwenyew sitaki kutetewa...ukijiamini mwenyewe ni kinga kubwa sana maishani!
Nna bahati ya kujiamini mwenyewe!
 
Umenena vizuri Sana mkuu
 
Washirika mnateteana.
 
Endelea na maisha yako amani itawale.

Ujumbe nimefikisha wenye kusikia na wasikie.
 
Njoo pm
Nimepitia hayo yoote . Nina habari njema kwaajiri yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…