TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

Humu jf kuna watu wana roho mbaya sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna namba yake moja ya Zantel ile nadhani alikua anawasiliana nami WhatsApp but sina uhakika sana kama ndo yenyewe ambayo iko kwenye baadhi ya moja ya nyuzi zake.

Kwangu ilifutika sababu sikua nimeisave na simu ikafuta messages kabla sijamjibu. Nitajaribu kumtafuta kesho nione ukweli wa hii taarifa.
Aisee inaogopesha mno, mwenye taarifa zake au mawasiliano nae itabidi atujuze huyu ndugu yetu kama bado mzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namba yake ya zantel haipatikani hata ukituma sms haifiki inafail

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumzikaga kwa amanii, tutakujaga kuonanaa

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…