TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

Naedelea kufuatilia Mtwara kwa wazazi wake nipate taarifa kili nitawajuza
Lakini ile 1.6 ilishapatikana na vyeti alivichukua tangu mwaka Jana, issue ikawa kumtafutia uwezekano Wa ajira maalumu pia support kwa mambo mengine.

Kwa taarifa wakati nikiwasiliana nae kabla hajapotea hewani kwa kufungiwa simu ni alikuwa akiishi kwa mama mmoja ambae ni member humu Jf so I wish huyo mama aje hapa athibitishe jambo hili wakati nasubiri uthibitisho kutoka MTWARA pia.

Tafadhali mdau Wa Jf uliekuwa unaishi na huyu ndugu njoo utupe uthibitisho .
 


Barikiwa sana, na huyo Mama wa JF Mungu azidi kumbariki
 
Aisee nimejikuta natiririka machozi mengi sana 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Nimechelewa kunua habari zake. Ni leo ndiyo nakutana na huu uzi. Nimeumia sana moyo wangu. Nimelia sana kidume mimi. Nimechukizwa sana na baadhi ya members washenzi waliomdhihaki. Alikua mdogo sana kwa kweli. Nimeumia sana. Ningemjua ningeweza kum-refer taasisi fulani ya waitaliano wana dhima ya kuwasaidia wenye ulemavu kupata kazi rasmi kwa kushirikiana na watu wa Radar recruitment agency. Nimeumia sana 😭😭
 
Mkuu eti inawezekana mdogo wa marehemu atumie simu ya aliyekufa kwa muda wote huo, bila hata kubadili sim card. Sasa ana lengo gani nayo. Hatujui.
Mimi nilipewa simu ya babu yangu nikae nayo alipokufa baada ya miezi miwili nikaizima.
Wewe ulikaa nayo kwa miezi miwili lakini unamshangaa aliyekwisha kaa na simu ya ndugu yake kwa mwezi mmoja tu!
 
nmekutumia namba ya mdogo wake PM
 
taarifa kamili nakupa pm
 
New update


Mdogowe anasema kaka yake alikuwa na simu 2 .moja ni infinix note 8 lite ambayo haionekani wakati siku chache tu aliahidi kumpa moja.

Halafu hii iliyobaki wameikuta haina hata app 1.
Walikuta msg chache tu kwenye line ya voda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…