TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Pole sana Afrodenzi na ahsante sana kunitaarifu na kufuatilia kuhusu habari hii. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Mwenzetu mahali pema peponi. Mimi kama wewe bado siamini kama Dena Amsi hayuko hai bado niko kwenye mstuko mkubwa.

 
RIP Dena Amsi, pole familia

Miaka 6 pamoja JF ni mingi sana, tangulia ndugu sisi nyuma yako. Kweli kizuri hakidumu
 
Poleni sana na Mola ampokee katika mikono yake
"R.I.P Dena"
 
RIP Dena
Mkongwe wetu wa JF toka tunaiita Jambo chat
 
Sisi sote ni wa Mola na kwake tutarejea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…