Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana taarifa.
Hiyo siyo picha yake mkuu.
Kuna picha ninayo ila haionekani vizuri.
Ngoja Babu Asprin kama anayo atuwekee
Nimepigwa na butwaa tangu nipoke hii taarifa.
Dena Amsi, King Mungu igaslaa ne iga amorosiatet. Aten king i-islawan ar muru hho tatlehhit bara-slafing-woge. Umu Mungu i-khirfuti.
(Dena Amsi, wewe Mungu amekupenda na amekuita kwake. Sisi tutakumbuka kwa mazuri uliyoyafanya wakati wa uhai wako, Jina la Mungu litukuzwe)
Kila nikiongea na Dena tunajaribu kuongea Ki nyumbani japokuwa hatukijui kivile.
Ni vema nikimuaga kwa lugha ambayo huwa tunajaribu kuitumia. Kwa kweli sitaki kabisa kuamini hili bado.
Poleni sana na Mola ampokee katika mikono yakeNi habari za kusikitisha kwa familia ya JamiiForums kwa ujumla wake.
Inadaiwa marehemu Dena Amsi amefariki jana baada ya kuugua kwa siku kadhaa.
Taarifa za kina juu ya nini kilitokea na msiba upo wapi zitafuatia.
Mwenyezi Mungu amsamehe dhambi zake na kumjalia pumziko la milele.
R.I.P Dena Amsi