TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Nina uhakika 100% hujanielewa. Iko siku utanielewa vema.

Kama ulisoma long kitambo utakuwa uliisoma hadithi ya "KIWAVI FEDHULI"
Anzia hapo kuelekea kuuelewa ujumbe wangu.
 
Jamani kifo kiboko rafiki wetu ametutangulia nasi nyuma

Bwana akupe pumziko la milele shambani mwake!


Pumzika kwa Amani!!!!
 
"Bwana alitoa, bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe". Poleni sana familia, ndugu na marafiki wa Dena Amsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…