jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Nina uhakika 100% hujanielewa. Iko siku utanielewa vema.Who told you that anonymity is only for the live beings? Hao verified members ni anonymous? Watu wengi tu humu wana fake ids lkn wako known to their few confidants, and that's why unaona marehemu alikuwa anakutana na members wengi tu wa JF na bado alikuwa anonymous to the rest.
Kwamba now she is gone, that doesn't abolish her rights to privacy.
Maamuzi yako ni yako na yake ni yake, don't force your will to be somebody's will. Ukipenda wewe waweza weka will yako hiyo uitakayo kwa special thread au kwa admins na watakutendea haki pindi ukiondoka duniani, ni haki na maamuzi yako.
Kama ulisoma long kitambo utakuwa uliisoma hadithi ya "KIWAVI FEDHULI"
Anzia hapo kuelekea kuuelewa ujumbe wangu.