TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Laiti sisi Binaadam tungalijua kilichopo mbeleni mwetu, nna hakika Kufuru zingezidi/tungezidisha.

Hakika kwa kila jambo Mwenyezi Mungu anasababu zake.

Mwenyezi Mungu atabaki kuwa Mwenyezi Mungu, na sisi Binaadam tutabaki kuwa Binaadam.

duh! hata mwezi haujaisha tumepga story sana tu leo ndo napata hizi taarifa

hakika binadamu wote tutaonja mauti.

Hakika Kiongozi

Mungu akulaze mahala pema peponi amen

AMEN
 
AAMIN
 
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu dada yetu mahala pema peponi. Amina [emoji120]
 
Asante sana
 
RIP Dena Amsi. Mwenyezi Mungu akupe pumziko la milele. Amina. Nime visit Facebook wall yake but sijaona post yoyote except picha ambayo inatumika kama Avatar yake. Nilichogundua ni kuwa address yake ni Gisenyi Nchini Rwanda na kuna watu wawili ambao nahisi alikuwa na undugu nao (1) Philemon Amsi (2) Amsi Slaa. Maybe huyo wa kwanza anaweza kuwa ndugu yake. Kwa upande wa huyo philemon Amsi, mara ya mwisho ku post kwenye wall yake ni mwaka 2013, so kuna maswali mengi kuliko majibu. Tukesheni tukiomba, kwani hatujui muda wala saa, Pumzika kwa Amani-DA
 
Itoshe kusema apumzike kwa amani huko aliko, niliwahi kuongea nae tena kwa chemba ni balaa, RIP DENA AMSI.
 
R .I. P dena amsi nimesoma post yako ya wallet daa nimeumia

By the way miaka ya nyuma sana kulikuwa na Uzi wa wanajf waliotutoka hebu wenye uwezo wa update ule Uzi pia namkumbuka mwanajf mwenzetu nimesahau jina aligongwa na Gari akiwa kwenye pikipiki darisalama akafariki
 
Sio huyo tu, mm pia nawafaham wanajf wawili waliofariki ndani ya mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…