HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Laiti sisi Binaadam tungalijua kilichopo mbeleni mwetu, nna hakika Kufuru zingezidi/tungezidisha.
Hakika kwa kila jambo Mwenyezi Mungu anasababu zake.
Mwenyezi Mungu atabaki kuwa Mwenyezi Mungu, na sisi Binaadam tutabaki kuwa Binaadam.
Hakika Kiongozi
AMEN
Hakika kwa kila jambo Mwenyezi Mungu anasababu zake.
Mwenyezi Mungu atabaki kuwa Mwenyezi Mungu, na sisi Binaadam tutabaki kuwa Binaadam.
duh! hata mwezi haujaisha tumepga story sana tu leo ndo napata hizi taarifa
hakika binadamu wote tutaonja mauti.
Hakika Kiongozi
Mungu akulaze mahala pema peponi amen
AMEN