TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Hapana Mkuu. Tayari walishalitaja jina lake hapa JF kabla ya mimi. Mimi nikafanya jitihada za kufuatilia zaidi ili nimfahamu. Cha msingi sioni sababu ya kuficha jina la member kama ameshafariki kwa kuwa hakuna wa kuweza kumfuatilia tena kwa mambo yake hata kama alikuwa anti-christ anabaki kuwa hivyo tu.
 
RIP dena, nimehuzunika sana. Nataman tungeweza kuonana kabla ya hili. Ulikuwa mtu mzuri sana kwangu na sitokusahau
 
Hivi MTU ni marehemu kuweka taarifa zake shida nini?
Kanza ili akumbukwe vema inatakiwa taarifa sake ziwe wazi ili watu waguswe zaidi...
 
Baada ya kuona jina nimekwenda Facebook kuangalia..nimekuta hii picha..(r.i.p Leah)
..Nadhani ndio yeye.
Heeh huyu mbona namfahamu...amewahi kuwa mfanyakazi wa Shirika moja kubwa la sirikali la maw......
 
I see
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…