TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Hata Mimi nitakufa ila wewe Dena umetangulia...
Hata mimi Mungu ananipenda ila were ndio umetangulia...
R.I.p
 
Kilicho fanyika hapa si sahihi hata kidogo na hatuja mtendea haki dada Dena!
Yaani baadhi ya members waanika jina lake ubin wake na wengine wanaleta hata picha zake humu jamvin kitu ambacho Dena mwenyewe hakuthubutu kukifanya, kwa kweli tumemkosea sana yaani tumeshindwa hata kuheshi privacy yake, lawama zangu nazielekeza kwenu ninyi mlio amua kumuanika, kwani mngekaa kimya mngepungukiwa nini?
 
Ndio huyo mkuu
Dah nasikitika nilipomaliza kazi nilikuwa niko nayo nkaondoka kanipa namba ya simu haikuwahi patikana nikaifuta...I wish unipe namba yake dah...
Dah she was very very......[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Aliyoyasimamia akiwa incognito yanaweza sababisha balaaa kwa waliobaki hai wanaomuhusu.
 
Kweli kabisa. Maadamu mtu hakutumia jina lake rasmi basi hata akifa aachwe hivyohivyo. Kuna madhara mengi tu watu hawaoni haraka
 
Dah inauma ila haina jinsi sote tuu njia moja rest in peace Dena!
 
Dah nasikitika nilipomaliza kazi nilikuwa niko nayo nkaondoka kanipa namba ya simu haikuwahi patikana nikaifuta...I wish unipe namba yake dah...
Dah she was very very......[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Namba yake sina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…