Inabidi kuamini kaka hii dunia kuna vitu hata tufanyeje hatuwezi kuvibadilisha.Siamini..
Ukienda facebook na ku-search Dena Amsi utaiona hiyo picha, hivyo hapana shaka ni yeye.
BAK hii ni picha yake hasa?
Samahani mkuu na pole sana,Pumzika kwa amani rafiki Dena amsi, nilibahatika kuonana na wewe tukaenjoy kwa muda mfupi tuliokutana. Nimehuzunika sana, Mungu aifariji familia yako
Kikazi alikuwa nairobi ila sijui kama alishahama. Avator siyo pic yakePrishaz funguka, huyu ni mkazi wa wapi
Mkaenjoy... hongereni.Pumzika kwa amani rafiki Dena amsi, nilibahatika kuonana na wewe tukaenjoy kwa muda mfupi tuliokutana. Nimehuzunika sana, Mungu aifariji familia yako