TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

raha ya milele umpe BWANA na mwanga wa milele umwangazie..amina
 
Dah yaani hiki kifo jamamani...

"...tutakaosalia hata wakati wa kuja kwake Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala Mauti" 1Wathesalonike 4:15


Pumzika kwa Amani Dena Amsi.
 
May her soul rest in eternal peace, poleh sana kwa familia
 
Pumzika mama pumzika......Moyo umejawa na ukungu ma hofu ikerayo, vipo vingi vinavyoumiza ila hili daima huumiza na kusononesha kupita yote...

Nimetoka kuchangia uzi wake wa kuhusu wallet kimasikhara na utani mwingi kisha nakutana na uzi huu ...

"Nyakati hupita ina neno lake litaishi milele"
pumzika ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…