TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

nimepitia thread zake nimejikuta nalia tu jamani thread zake zote sijaona.mbaya hata moja
alikuwa ametukuka hapa jf
daaah rip
 
Habari za kusikitisha sana.
Ulale mahali pema peponi, Dena!
 
R.i.p Dena ... Msiba mzito mnoo kwa familia nzima ya JF.
 
Mungu wa amani akupe pumziko la milele na Natoa pole kwa ndugu jamaa marafiki na wanaJamii forum kwa kuondokewa na mpendwa wetu Dena. Naomba Mungu awape ustahimilivu katika hili
 
duh! hata mwezi haujaisha tumepga story sana tu leo ndo napata hizi taarifa,hakika binadamu wote tutaonja mauti.Mungu akulaze mahala pema peponi amen
 
Back
Top Bottom