TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Kwa hakika kila nafsi Itaonja umauti! Pumzika kwa amani
 
May God rest her soul in eternal repose . Amen
 
hakika sisi sote ni wa mwenyezi mungu na kwake ndio marejeo.
 
Ndugu yetu na mwanajimvi mwenzetu tunasikitika sana kwa kutoweka kwa uwepo wako hapa JF milele lakini tunafarijika sana kwa kuwa tunaamini kwamba Mwenyezi Mungu ameipumzisha roho yako mahali pema peponi.

Article.
 
Ni habari za kusikitisha kwa familia ya JamiiForums kwa ujumla wake.

Inadaiwa marehemu Dena Amsi amefariki jana baada ya kuugua kwa siku kadhaa.

Taarifa za kina juu ya nini kilitokea na msiba upo wapi zitafuatia.

Mwenyezi Mungu amsamehe dhambi zake na kumjalia pumziko la milele.

R.I.P Dena Amsi
R.I.P DENA AMSI
TUTAKUMISS MILELE
 
Back
Top Bottom