TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Ama kwa hakika sisi ni wa mwenyezi Mungu na kwake tutarejea...
 
Ni habari za kusikitisha kwa familia ya JamiiForums kwa ujumla wake.

Inadaiwa marehemu Dena Amsi amefariki jana baada ya kuugua kwa siku kadhaa.

Taarifa za kina juu ya nini kilitokea na msiba upo wapi zitafuatia.

Mwenyezi Mungu amsamehe dhambi zake na kumjalia pumziko la milele.

R.I.P Dena Amsi
Tunaweza kupata Picha yake na Maelezo au Historia yake pamoja na ugonjwa wake japo kwa ufupi ili tumjue??
RIP D.A.
 
Back
Top Bottom