Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana Mkuu Musa angalau nimeiona sura ya kwenye Avatar ya mpendwa wetu Dena Amsi. Mungu na ampumbuzishe mahali pema peponi. AminLala Salama Dena Amsi
Nina uhakika 100% hujanielewa. Iko siku utanielewa vema.
Kama ulisoma long kitambo utakuwa uliisoma hadithi ya "KIWAVI FEDHULI"
Anzia hapo kuelekea kuuelewa ujumbe wangu.
Asante kwa kunifunguaKifo cha mmojawetu kinapotokea kinatukumbusha kuwa nasi tujiandae na safari hiyo tusiyoweza kuikwepa wala kipangia muda.MUNGU awatie nguvu waliachwa na mwenzetu.