TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Rest In Peace, Dena. Mungu awape nguvu wote mlioguswa na msiba huu.
 
Pole Sana Familia ya Mzee Komba

R.I.P Dena Amse

Nitakukumbuka Daima Milele. ..
 
Nina uhakika 100% hujanielewa. Iko siku utanielewa vema.

Kama ulisoma long kitambo utakuwa uliisoma hadithi ya "KIWAVI FEDHULI"
Anzia hapo kuelekea kuuelewa ujumbe wangu.

Mkuu nimekuelewa kwa 101%. Angalia points zako kwa jicho la 3. Hata hivyo tukubali tu kutokubaliana. Let's close this discussion.
 
Pumzika kwa amani Dena, wewe ni miongoni mwa ma-nguli wa mijadala hapa JF tokea napajua hapa.
 
Poleni wafiwa Allah awape subra ktk kipindi hiki kigumu
 
RIP Dena...Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe!
 
Nimetafuta maneno ya kuandika Vile ninavyojisikia moyoni lakini nimekosa cha kuandika. Nikitaka kupinda hili nitakuwa napingana na mapenzi ya mwenye Mungu.

HATA MIKONO INATETEMEKA KUYAANDIKA HAYA. NENDA dena Amsi.

Nenda ukiamini umetuumiza wengi katika hii safari yako. Uliponifuata pm siku moja baada ya kuchangia mada kwa lugha kali itabaki kuwa kumbukumbu bora kwangu.

Msalimie Regia Mtema

Na msalimie Dotto Mzava. Waambie hata sisi tunakuja huko.

Ukifanikiwa kukutana na Wifi yako NEEMA mwambie kuondoka kwake kumeondoa hisia zote za mapenzi Moyoni Mwangu.

GONA NPEHO DADA
 
Back
Top Bottom