TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Da! Kweli hapa tunaishi kama wanafamilia. Yani baada ya kusoma komenti za wanajamii forum na ninapomkumbuka kipenzi chetu Dena Amsi nimejikuta machozi yananidondoka. Hakika tutakumiss.
Wewe haupo nasi kimwili lakini maneno na ushauri wako vitaendelea kuwa pamoja nasi siku zote za maisha yetu,Amina!
 
Leah Komba daah sijawahi kukujua ndani ya JF ila nimekujua nje ya JF toka 2008 kupitia kwa mdogo ako Stellah , nenda mama kapumzike ila umejua kuniliza dada yangu!!! Wakati mdogo ako stella ananitaarifu kuhusu kifo chako niliona kama ndoto!!! Juzi nakuona kwa mara ya mwisho kwenye jeneza kama umelala baadae utaamka, kumbe utohamka tena!!!....pumzika kwa amani dada angu tupo nyuma yako.
 
Kuna wakati unaweza kudhani kwamba utamuona akitembea, utamuona akicheka na hata kukutania. Amezimika kama taa, Amezimika kama mshumaa katika ya upendo. SICHOK KUKWAMBIA NENDA UKALALE SALAMA, LAKINI UKIMUONA NEEMA MWAMBIE NAMSALIMIA
 
Back
Top Bottom