TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Hizi habari yaonesha zimeletwa humu kwa mara ya kwanza tarehe 26/12/2016!
 
Innallilah Wainnalilah Rajiun. Eee mwenyezi mungu msamehe makosa yake na umuepushe na adhabu ya kaburi pia muwekee nuru katika kaburi lake. Amin
 
R.I.P jf member.
MUNG awape moyo mkuu familia ya marehem katika wakati huu mgumu.
 
Kuweka picha yake hairuhisiwi? Au mambo ya anonymous ID yanaendelea hata kwa tukio hili?

Samahani lakini sina nia mbaya!
 
Back
Top Bottom