Ni ushamba tu,,ni kiasi cha kumpa ID fake,,mwambie wewe ndo maralia sugu.Watu wa Jf waoga sana kukutana na member wapya ππ
D
Hapa usalama mkuu, 5N uswahili mwingi sana.. kuna madogo hapo mionekano yao kama vibaka vile, ingawa sitaki hukumu
Si umtag huyo wa mbeleNi kweli hili mkuu, umakini na taadhari ni jambo la msingi, ila mie sio mtu wa systema na sijawahi kuwa mtu wa system. Kuanzia mchana nipo hapo nimerudi toka shamba huko
View attachment 1483683
Nasubiri pichaKaribu mkuu.
Picha yako wewe nikuone kabisa ili nikifika tu nakugusa beganiPicha ya hapa au picha yangu nipige picha eneo gank ili uamini mkuu
Jamaa ashindwe mwenyewe tu!π€«Picha yako wewe nikuone kabisa ili nikifika tu nakugusa begani
Kaweke huko private sasaKama ya eneo lolote hapa sawa, ila mie picha yangi siwezi iweka hapa public mkuu