Mwana-JF usisahau kulog out kwenye akaunti yako ukishamaliza shughuli zako humu

Inategemea na unaokutana nao, humu wanaishi vipi! yani wana interact vipi humu!

Unafikiri kama ni mtu ambaye anaikosoa serikali hata kwa hoja zenye mantiki, anaweza kukubali tu kirahisi kukutana na wewe ili hali hamjawahi kufahamiana hapo kabla?

Tena kwa hali hii ya sasa kwa yanayoendelea huko nje?
 
Usitutishe
 
Kama unakosoa Kwa lugha Kali kama hawa

Rachel Dangwa,
Mdude Nyagali
Edgar Mwakabela (sativa)
Hilda Newton
Maria Sarungi
John Pambalu

Hapa ni kuwakosea adabu viongozi wa nchi.hapa unaweza kuchuma janga.

Halafu kuna hawa wa kujenga hoja lakini Wana lugha kali

Tundu Lissu.

Tutakikunikisha"
Hili ilikuwa lazima ufunguliwe kesi ya uhaini bila kupepesa.

John Heche

Ana akili,ni msomi anajua nchi inaenda vipi,kiufupi anajua vingi ,sijashangaq kuwa makamu mwenyekiti,anastahili.
Lakini ana Tatizo kwenye uwasilishaji wa maneno,labda sababu ya ukurya wake ,anafoka anakwaza ,ana hasira .
Ni anaeleweka ila ni vyema basi kuheshimu viongozi waliopo madarakani ambao ndiyo wanacontrol taasisi zote.
 
Unataka kuniambia haujakutana na nyuzi humu zilizo anzishwa kwa ajili ya Heche kupewa tahadhari kuwa anaviziwa?

Kosa la Heche ni lipi ? umekiri mwenyewe kuwa anatumia lugha nzuri na anaelewa nchi inavyoenda, ni kosa gani amelifaya mpaka watake kumteka?
 


Kwanza ni nani ambaye kasema waziwazi anamuwinda Heche, Heche akitakiwa hata sasahivi anakamatwa
Kama akiwa na kosa

Acheni propaganda za mitandaoni
 
Kwanza ni nani ambaye kasema waziwazi anamuwinda Heche, Heche akitakiwa hata sasahivi anakamatwa
Kama akiwa na kosa

Acheni propaganda za mitandaoni
Unadhani ni rahisi kumkamata hadharani vile kama unavyo fikiria?

Ni nani unayemjua wewe aliyekuwa na kosa, alikamatwa hadharani kwa wale wote waliopotea na hawajulikani walipo mpaka leo?

Kwanini wote ukamatwaji wao ulikuwa ni wa kuviziwa?

Kama walikuwa na makosa kwanini walishindwa kuwakamata hadharani kwa kufuata sheria?
 
πŸ˜€umeona sasa,
alafu kuwashtukia madume yanayotumia Id's za kike ni rahisi sana.. maana hata kwenye typing zao ile haiba ya kike hakuna kabisa, wanaigiza tu.
Kwanza maandishi yao yanaumiza macho.
 
kuna mkongwe mmoja(mzee wa kuheshimika) hapa Jf miaka ya nyuma aliumbuliwa na Id yake ya kike akijiita Gilesi, tena akijinasibu ana msambwanda mpk amekosa size chupi ya kumtoshea.

● Aise nilicheka sanaπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
🀣🀣🀣🀣
 
Gender fluid ni kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…