Mwana-JF usisahau kulog out kwenye akaunti yako ukishamaliza shughuli zako humu

Mzee wangu LIKUD bana kuna demu alimtumia pm no yake ya simu inaishia 500 ya halotel..special namba mwaka 2017 huyo dem kwa ujinga haku logout..katika harakati ile simu ikatua mikononi mwangu kibiashara..kukagua nakuta chats za mzee mzima na namba yake ya simu..nilichofanya nililog out...nika clear cashes na usafi mwingine ndio nikauza๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ