Hahahahah kiranga banaKwani umeulizwa kuwataja watu uliopunguza kuwakubali au watu unaowakubali?
Hata mi pm zangu hazipo zoteNimeshindwa shoga anguu!!njoo bathi wewe!hapa mate yanimwaikaa!![emoji2] [emoji2] [emoji2]
Tobaaaa[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]Hata mi pm zangu hazipo zote
Dejavu kumbe huwa unayaonaee ndio maana tunayaita mapugiVyema Sana umemkogesha nayo mwili mzima.ungemwadhiri zaidi Kwa kumtaja na jina lake. Vidume vingine vimezidi kuwa na bifu za kishamba na watoto wa kike, online bullying kwa women lazma iishe.
Mimi ni mwanaume ila siiungi mkono uonevu wa wanawake mtandaoni. Period!
Safi nambie bestNimefurahi tu. Weekend vipi huko
Ahsante kaka!Vyema Sana umemkogesha nayo mwili mzima.ungemwadhiri zaidi Kwa kumtaja na jina lake. Vidume vingine vimezidi kuwa na bifu za kishamba na watoto wa kike, online bullying kwa women lazma iishe.
Mimi ni mwanaume ila siiungi mkono uonevu wa wanawake mtandaoni. Period!
Hatustuwi madam nshafika PM naomba ujeNaja mwaya....ila tukisutwa uje pia
Hawa watu wengine tunawaita "kisirani kiso rehani". Yani kisirani hiki unaweza kukuta mtu anadaiwa anataka kufungwa, kakosa rehani, ukamtolea rehani, halafu akakugeuzia wewe kisirani kwa nini umemtolea rehani asifungwe!Hahahahah kiranga bana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mungu anakuonaaUwiii. Nani huyo?? Kama namuhisi. Inawezekana ila wenye uwezo wa kuninyweshwa humu ni watatu tuu na wanajijua
Umepatia kabisa kumuuliza ndio maana wengi hufeli mitihaniHawa watu wengine tunawaita "kisirani kiso rehani".
Yani mtu kaanzisha thread very positive, taja watu unaowakubali.
Mapaka mbishi na critic ninayemkosoa mpaka Mungu nimemtaja mtu namkubali kwa kazi yake.
Halafu anakuja mtu anabadili somo, analeta habari za watu ambao anapunguza kuwakubali.
Kama vile kaulizwa ataje watu anaopunguza kuwakubali.
Mradi awe negative tu.
Huyu lazima atakuwa ana uteja wa negativity, yani akikaa bila kuwa negative anapata arosto inabidi atafute tu njia ya kuwa negative.
Tunapenda kusuta na kusutwa piaNaja mwaya....ila tukisutwa uje pia
Kaah!Tunapenda kusuta na kusutwa pia
Taja hata initials za jinaMie niko tofauti kidogo na mleta mada.
Mie namdiss mkuda mmoja hivi humu Jf.
Ni dume ila ikifika usiku anakuwa jike.
Hana kazi ya maana zaidi ya kuita wadada wa Jf na kuanza kufuatilia maisha yao.
Kwanza dume zima unaanzaje kuulizia maisha ya mwanamke!!!....unataka kuwa shoga etu au!
Next time nakuvisha dera...sina pengine pa kusemea.
Nimekusema ila naona hujirekebishi.
Utakuja kuolewa bila mahari wala sare.
Najua unajijua, unajikuta Jay Z huko uliko.
View attachment 821981Nakusindikiza nalo...nyau we!!!!
Koma kufuatilia maisha yangu.
Namba yangu ya simu huna...ila matatizo yangu unayo....kama sio uchawi ni nini!!!
Nyau we.
Angalia box lako la ujumbe..Sjiaona ujumbe mkuu
Sijapata kabisa ujumbeAngalia box lako la ujumbe..
Nilikuwa nafanya Application ya kazi ya Udereva wa DC wa Kisarawe huku nikiendelea kuperuzi kimya kimya..Mwifwa nakuona unapita kimyaaa
Wewe unataka udereva tu au kuna mengine unamendea?Nilikuwa nafanya Application ya kazi ya Udereva wa DC wa Kisarawe huku nikiendelea kuperuzi kimya kimya..