Mwana JF yupi unamkubali sana na kwanini unamkubali?

Mwana JF yupi unamkubali sana na kwanini unamkubali?

Masihara pembeni...[emoji102] [emoji102]

Ufipa FC naikubali;kwao hata goli halali...lazima refarii kaotea..[emoji58]
 
Vyema Sana umemkogesha nayo mwili mzima.ungemwadhiri zaidi Kwa kumtaja na jina lake. Vidume vingine vimezidi kuwa na bifu za kishamba na watoto wa kike, online bullying kwa women lazma iishe.
Mimi ni mwanaume ila siiungi mkono uonevu wa wanawake mtandaoni. Period!
Dejavu kumbe huwa unayaonaee ndio maana tunayaita mapugi
Bila kusahau nakukubali vibayaa
 
Vyema Sana umemkogesha nayo mwili mzima.ungemwadhiri zaidi Kwa kumtaja na jina lake. Vidume vingine vimezidi kuwa na bifu za kishamba na watoto wa kike, online bullying kwa women lazma iishe.
Mimi ni mwanaume ila siiungi mkono uonevu wa wanawake mtandaoni. Period!
Ahsante kaka!
 
Hahahahah kiranga bana
Hawa watu wengine tunawaita "kisirani kiso rehani". Yani kisirani hiki unaweza kukuta mtu anadaiwa anataka kufungwa, kakosa rehani, ukamtolea rehani, halafu akakugeuzia wewe kisirani kwa nini umemtolea rehani asifungwe!

Yani mtu kaanzisha thread very positive, taja watu unaowakubali. The main theme of the thread is a "feel good thread", we have more than our fair quota of negative threads.

Mapaka mbishi na critic ninayemkosoa mpaka Mungu nimemtaja mtu namkubali kwa kazi yake.

Halafu anakuja mtu anabadili somo, analeta habari za watu ambao anapunguza kuwakubali.

Kama vile kaulizwa ataje watu anaopunguza kuwakubali.

Mradi awe negative tu.

Huyu lazima atakuwa ana uteja wa negativity, yani akikaa bila kuwa negative anapata arosto inabidi atafute tu njia ya kuwa negative.
 
Hawa watu wengine tunawaita "kisirani kiso rehani".

Yani mtu kaanzisha thread very positive, taja watu unaowakubali.

Mapaka mbishi na critic ninayemkosoa mpaka Mungu nimemtaja mtu namkubali kwa kazi yake.

Halafu anakuja mtu anabadili somo, analeta habari za watu ambao anapunguza kuwakubali.

Kama vile kaulizwa ataje watu anaopunguza kuwakubali.

Mradi awe negative tu.

Huyu lazima atakuwa ana uteja wa negativity, yani akikaa bila kuwa negative anapata arosto inabidi atafute tu njia ya kuwa negative.
Umepatia kabisa kumuuliza ndio maana wengi hufeli mitihani
 
Mie niko tofauti kidogo na mleta mada.
Mie namdiss mkuda mmoja hivi humu Jf.
Ni dume ila ikifika usiku anakuwa jike.
Hana kazi ya maana zaidi ya kuita wadada wa Jf na kuanza kufuatilia maisha yao.

Kwanza dume zima unaanzaje kuulizia maisha ya mwanamke!!!....unataka kuwa shoga etu au!
Next time nakuvisha dera...sina pengine pa kusemea.
Nimekusema ila naona hujirekebishi.
Utakuja kuolewa bila mahari wala sare.
Najua unajijua, unajikuta Jay Z huko uliko.
View attachment 821981Nakusindikiza nalo...nyau we!!!!
Koma kufuatilia maisha yangu.

Namba yangu ya simu huna...ila matatizo yangu unayo....kama sio uchawi ni nini!!!
Nyau we.
Taja hata initials za jina
 
Back
Top Bottom