Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 1,936
- 1,972
Mzigua90 si umaliziage hadii juu kwenye upande wa avatar kwakweliiEeeh. Kuna mmoja nilishaambiwa alishawahi niongelea nikahisi atakua huyo maana najua yeye ndo zake kweli japo haongei kwa ubaya
ajagee tuu maana daaah mtaweza mtufanyee naniliuu sasaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sina bahatii miee na ile ya emoj je???Hiyo picha nimeipata hivyo hivyo iko nusu
Ile yangusina bahatii miee na ile ya emoj je???
ngoja nijee niione ikiwa haina emoj maana nilihangaika sanaa nikaishia kuona kidevu tuu😕😕😕Ile yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nijee niione ikiwa haina emoj maana nilihangaika sanaa nikaishia kuona kidevu tuu😕😕😕
kwa hilo tabasamu inaonyesha hata moyo umeridhia nipo njee hapaa usije ukatoka kwa kujifichaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani na wewe ni MWEMA?Bado Mimi hatujakutana[emoji2] [emoji2]
kwako iwe zaidi mkuu[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Heshima kwako mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] so mi ni mbayaKwani na wewe ni MWEMA?
sijawahi kuona ubaya wako![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] so mi ni mbaya
hayo ndio mahaba sasaYule dada namuomba mchezo mwezi wa 9 huu
[emoji2] [emoji2] bas hata uzuri wangu hujauona piasijawahi kuona ubaya wako!
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] . Mbarikiwe sana wapenziHeaven Sent
Ahsante sana mdogo wangu hata mimi nathamini sana sanaa michango yako hapa jukwaaani.
Binafsi nawakubali wanajukwaaa wote humu, japo kuna watu ambao huwa napenda sana kusoma michango yao:
Ndugu yangu FisadiKuu
chige ,
JokaKuu ,
Wick /Palantir/Indundu
zitto junior ,
Zitto ,
Pascal Mayalla ,
whitehorse ,
charty ,
espy ,
Heaven Sent .
Da'Vinci ,
Son of Gamba ,
mitale na midimu ,
Consigliere ,
Red Giant ,
britanicca ,
GuDume
Prof ,
hearly
NB: Hawa ni wachache tu
"Jamani na mimi ni mmbea mwenzenu nipokeeni", ulituchekesha sana siku hiyo bina[emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] wewe na warumi ndo mlinifanya nipigane kuingia
Undugu hazina yetuu!long time[emoji8] [emoji8] [emoji8]
Waooooh asante hakika nimefurahi sanaa kifupi umekuwa mtu uliyenielewa haraka sanaaDemiss licha ya kuwa ni mtu anaespeak mind yake bila kujali chochote pia ni Mtu rahisi sana kuendana nae...yaani anyone can easily befriended with her.
Precisely, huwa anafanya research anaandaa list zake za boys ma HB humu JF sijawahi kukosa kwenye list yake... Thats not simple, That's noble respect anayonipa is priceless.
Anayajua mahaba na anapenda kwa dhati. Refers mshana Jr case na unguli alionae demiss kule kwa wakubwa.
Wewe Demiss ni mzuri, charming, and tender...achana na wale mademu pugi demu ana mikono migumu hadi akigusa Laptop inaandika "Found new hardware"...Ahahaha!! Demu ngozi ngumu hadi akikonyeza kulia na mguu wa kulia unanyanyuka kidogo. Ahahaha!
Keep the fire burning swry lady.
[emoji176]
Waoooh asanteeeeKuna barua yako hapo juu Demiss.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu una kumbukumbu loooh!!acha tu!yaani warumi hapana kwa kweli sijui yaani km atatokea km yeye"Jamani na mimi ni mmbea mwenzenu nipokeeni", ulituchekesha sana siku hiyo bina