Mwana JF yupi unamkubali sana na kwanini unamkubali?

Mwana JF yupi unamkubali sana na kwanini unamkubali?

Duhhh....
Hii sasa roho mbaya kabisa.....
Hivi nyie wadada wa jf niliwakosea nini..!!??
Yaani hakuna hata anae nikubali...[emoji30][emoji30][emoji30]
 
Heaven Sent
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] . Mbarikiwe sana wapenzi
Ahsante sana mdogo wangu hata mimi nathamini sana sanaa michango yako hapa jukwaaani.
Binafsi nawakubali wanajukwaaa wote humu, japo kuna watu ambao huwa napenda sana kusoma michango yao:
Ndugu yangu FisadiKuu
chige ,
JokaKuu ,
Wick /Palantir/Indundu
zitto junior ,
Zitto ,
Pascal Mayalla ,
whitehorse ,
charty ,
espy ,
Heaven Sent .
Da'Vinci ,
Son of Gamba ,
mitale na midimu ,
Consigliere ,
Red Giant ,
britanicca ,
GuDume
Prof ,
hearly
NB: Hawa ni wachache tu
 
Demiss licha ya kuwa ni mtu anaespeak mind yake bila kujali chochote pia ni Mtu rahisi sana kuendana nae...yaani anyone can easily befriended with her.

Precisely, huwa anafanya research anaandaa list zake za boys ma HB humu JF sijawahi kukosa kwenye list yake... Thats not simple, That's noble respect anayonipa is priceless.

Anayajua mahaba na anapenda kwa dhati. Refers mshana Jr case na unguli alionae demiss kule kwa wakubwa.

Wewe Demiss ni mzuri, charming, and tender...achana na wale mademu pugi demu ana mikono migumu hadi akigusa Laptop inaandika "Found new hardware"...Ahahaha!! Demu ngozi ngumu hadi akikonyeza kulia na mguu wa kulia unanyanyuka kidogo. Ahahaha!

Keep the fire burning swry lady.

[emoji176]
Waooooh asante hakika nimefurahi sanaa kifupi umekuwa mtu uliyenielewa haraka sanaa

Sina meng ya kusema umemaliza kila kitu samahan kwa kuchelewa kuona comment majukumu yalinibana.[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Humble rafiki wa faida.
 
Back
Top Bottom