Paap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 1,493
- 1,401
Ahsante sana najua ni Mimi tuu[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] !!!
[emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana najua ni Mimi tuu[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] !!!
Walah tena.Kaaah!jamaniii mashkolo mageni!!
Nimeshindwa shoga anguu!!njoo bathi wewe!hapa mate yanimwaikaa!![emoji2] [emoji2] [emoji2]Walah tena.
Mie ilinitoa ushamba awali.
Ila nishaizoea
Mbona wachekaa....tena au thio miye maana jf hapa!![[emoji3][emoji3]
hahaa hahaaaaKwani umeulizwa kuwataja watu uliopunguza kuwakubali au watu unaowakubali?
hapo sasa " !!!agiza" balimi "naja "kulipa"Pale unaemkubali lkn yeye hakukubali
Kwa taarifa nilizopewa figo yako haifai kutolewa, unatumia sana dry gin na una tamaa na MLF + BBW sasa ukitolewa sitaki kulaumiwa niliwahisha ratiba ya Izrael!.Msomee tu. Huyo kanigandisha mi nasubiri tiketi ya kwenda kuuza figo tiketi yangu anayo yeye.
Mbona wachekaa....tena au thio miye maana jf hapa!![
Ndo maana hatajwi I'd !!!!!
Vyema Sana umemkogesha nayo mwili mzima.ungemwadhiri zaidi Kwa kumtaja na jina lake. Vidume vingine vimezidi kuwa na bifu za kishamba na watoto wa kike, online bullying kwa women lazma iishe.Mie niko tofauti kidogo na mleta mada.
Mie namdiss mkuda mmoja hivi humu Jf.
Ni dume ila ikifika usiku anakuwa jike.
Hana kazi ya maana zaidi ya kuita wadada wa Jf na kuanza kufuatilia maisha yao.
Kwanza dume zima unaanzaje kuulizia maisha ya mwanamke!!!....unataka kuwa shoga etu au!
Next time nakuvisha dera...sina pengine pa kusemea.
Nimekusema ila naona hujirekebishi.
Utakuja kuolewa bila mahari wala sare.
Najua unajijua, unajikuta Jay Z huko uliko.
View attachment 821981Nakusindikiza nalo...nyau we!!!!
Koma kufuatilia maisha yangu.
Namba yangu ya simu huna...ila matatizo yangu unayo....kama sio uchawi ni nini!!!
Nyau we.
Naja mwaya....ila tukisutwa uje piaNimeshindwa shoga anguu!!njoo bathi wewe!hapa mate yanimwaikaa!![emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sifa hizo za Max umezijuaje mkuu?
Una mfaham nje ya JF?
Asante kaka.Vyema Sana umemkogesha nayo mwili mzima.ungemwadhiri zaidi Kwa kumtaja na jina lake. Vidume vingine vimezidi kuwa na bifu za kishamba na watoto wa kike, online bullying kwa women lazma iishe.
Mimi ni mwanaume ila siiungi mkono uonevu wa wanawake mtandaoni. Period!
Uwiii. Nani huyo?? Kama namuhisi. Inawezekana ila wenye uwezo wa kuninyweshwa humu ni watatu tuu na wanajijuaNakupenda pia.
Afu nawe alikuulizia....
Hahahaha, ulimnywea balimi zake nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nini mama lii!!acha uchawi hapaa!!