Uchaguzi 2020 Mwana wa kulitafuta Lijualikali kalipata, baada ya kuangukia pua Ubunge ajaribu udiwani na kuambulia kura 5. Adaiwa kutamani kurudi CHADEMA

Kina Lijualikali, Mtolea nk walishinda Ubunge kwa sababu ya kampeni za mafuriko. Lowasa aliwaomba wananchi wamchagulie wabunge. Hawa jamaa hawakushinda kwa sababu ya sera au kuwa popular. Hata wangebaki upinzani, this time wasingeshinda ng'oo. Bora wabaki CCM wanaweza wakakumbukwa kwenye teuzi nyingine.
 
Tano tena! Tuliambiwa kura mbili.
 
Duu kweli kalogwa vibaya
 
Chadema hawawezi hata siku moja kushinda kwa mbereko wa NEC wao hushinda kwa upendo wa wananchi wanaichukia CCM ndiyo sababu nguvu kubwa ya dola hutumika kila wakati uchaguzi unapofika.
 
Hizo milioni 250 za kiinua mgongo akanunue boda boda kama alivyosema...yaani unatoka ubunge kurudi udiwani wakati wenzake wanatoka udiwani kwenda ubunge,huyu ndio kaweka historia kutoka ubunge hadi kugombea udiwani.
 
tulisema huyo kaisha potea kisiasa na ndo basi tena
 
Hii ni kweli? Mbona amejipa demotion mwenyewe? Kama kuna mtu kamshauri amemshauri fyongo. Yaani kutoka ubunge, kufightia ubunge kisha kufightia udiwani.

Ila hao wajumbe ni hatari
Alikuwa akitarajia akiwa diwani, atapata nafasi ya kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…