Uchaguzi 2020 Mwana wa kulitafuta Lijualikali kalipata, baada ya kuangukia pua Ubunge ajaribu udiwani na kuambulia kura 5. Adaiwa kutamani kurudi CHADEMA

Ni yule librarian?!!! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Jamani sio dharau lkn mwanamme mzima unasomea degree ya library
Hata km namdharau sawa tu mbona yeye kadharau wananchi wa kilombero waliomuamini. Mimi ni nani nisimdharau mtu mwenye mazereu.
 
Yanayowatokea wale wote waliouza utu wao ni uthibitisho kwamba majority ya watu wanapenda zaidi VYAMA kuliko MTU. Ukihama Chama utajikuta upo peke yako huko na wale watu uliodhani ni die-hard fans wako, hawatakufuata wala kukuunga mkono.

Nadhani hii kitu hata Membe had to learn the hard way.
 
Aliyekuwa mbunge wa kilombero Peter Lijualikali aliyeunga mkono juhudi ameangukia Pua kura za Maoni CCM baada ya kupata kura 2 za Ubunge na kura 5 za udiwani .Apanga kumuangukia Mbowe kuomba msamaha na kurudi Chadema.Wajumbe wa CCM noma Sana wagombea walikuwa wakiwauliza tuko pamoja wanajibu tuko pamoja Kwenye kura sasa.
 
Hebu tuwekeni sawa, mchakato huu ulichelewa kufanyika kwasababu zipi? Au upo ndani ya ratiba za CCM kwenye kura za maoni?
 
Imewapa za uso. Maan awana dhani wao star kuliko Chama..
 
Hayo ndiyo malipo stahili kwa wasaliti na hapo bado Lijualikali atajikuta yupo mpweke kabisa kwenye jamii
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kwa kipindi kile ccm jimbo la kilombero lilikuwa la chadema tu,maana hata aliekuwa mbunge mteketa aliteuliwa tu lkn ilishinda chadema na alikuwa regia mtema kwa hiyo baada ya kuona mambo magumu ccm wakamtuma kingunge aje kuweka mambo sawa ndio akatangazwa mteketa huku regia mtema akipewa viti maalum,kwa bahati mbaya alifariki huyu dada kwa ajali ya gari na maziko yake kikwete alikuja ,wakati huo lijua likali bado anatunza dawa stoo pale ifakara

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…