Haukujua kwamba mwaka huu kuna mafuriko ya Tundu Lissu, amechanga karata vibayaKina Lijualikali, Mtolea nk walishinda Ubunge kwa sababu ya kampeni za mafuriko. Lowasa aliwaomba wananchi wamchagulie wabunge. Hawa jamaa hawakushinda kwa sababu ya sera au kuwa popular. Hata wangebaki upinzani, this time wasingeshinda ng'oo. Bora wabaki CCM wanaweza wakakumbukwa kwenye teuzi nyingine.
si alisema anataka kazi ya kudeki bado hajapewa tu!Anaomba kurudi wapi? Akae hapohapo labda anaweza kupewa ukatibu tarafa vijijini huko ndanindani
Nyuzi hii imenikuta Niko msibani ningejipongeza Leo 🍹dadek...yaan mbunge ambaye wanachadema hawatamsamehe ni huyu kifaruhande..shenzy typHabari kutoka huko jimboni kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa.
Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa ccm na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi
Amalize kwanza mshiko walio mpa ndipo ajue mwanamume anatakiwa kuwa na akiba ya maneno. Alituambia yeye ni star.. Wajumbe ni balaa,,, kura mbili jamani kwa mtoto wa mjini??
Hata angepewa dabo ngumu Sana kutoboaJamaa ana hofu ya maisha ya ujobless, yaani ana mtaji lakini bado ana hofu ya maisha
kwani aliyemtuma kuhama anasema je wakuu
Anyooke.Habari kutoka huko jimboni kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa.
Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa ccm na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi
Huyu mpumbavu nakumbuka alidondosha hadi chozi bungeni...Atakula kwa ndugai mbwa huyo.....
Silinde hajajaribu udiwani? Akifanya hivo anapata sifuri
Tena ana manati shingoni ya kuwindia njiwa pori .Hana utoto wowotte wa mjini..mshamba balaa
Bwege tu yule .Hana ujanja wala usmart wowote wa kuishi mjini libaki tu huko Kikwavila na Siginali..dadek zakeTena ana manati shingoni ya kuwindia njiwa pori .
Sijui nani alimshauri! Hivi ni darasa la ngapi?Habari kutoka huko jimboni kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa.
Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa CCM na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi.