Namkunda OG
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 827
- 1,048
Hivi hawezi kufanya maisha mengine bila siasa,mbona anahangaika sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitumie tu napokea Mimi bossWe mmama kuna dompo pemben hapo
Ukute form fourSijui nani alimshauri! Hivi ni darasa la ngapi?
Mteuaji anaweza akakomesha maneno yenu.Anaomba kurudi wapi? Akae hapohapo labda anaweza kupewa ukatibu tarafa vijijini huko ndanindani
Hii Picha na post umeuaPale mjumbe anapovua lile shati la kijani na kutinga nguo za uraiani.
Pole sana Lijuakali!View attachment 1524598
Kumbe ana digrii ya kufuta na kupanga vitabu kabatini?Ni yule librarian?!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jamani sio dharau lkn mwanamme mzima unasomea degree ya library
Hata km namdharau sawa tu mbona yeye kadharau wananchi wa kilombero waliomuamini. Mimi ni nani nisimdharau mtu mwenye mazereu.
Apia kwanza😀!Njoo tuwezane pm
Agombee ubalozi wa nyumba sasa mamaaaeeee na huko atakutana na wajumbe piA!Habari kutoka huko jimboni Kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa.
Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa CCM na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi CHADEMA.
Mkuu siyo mbaya, biashara ya jumla ikigoma unahamia biashara reja reja.Hii ni kweli? Mbona amejipa demotion mwenyewe? Kama kuna mtu kamshauri amemshauri fyongo. Yaani kutoka ubunge, kufightia ubunge kisha kufightia udiwani.
Ila hao wajumbe ni hatari
Alisema bora akalime na kufuga ng'ombe huko Kilombero, nadhani ni muda muafaka wa yeye kuishi katika maneno yake mwenyeweHabari kutoka huko jimboni Kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa.
Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa CCM na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi CHADEMA.
Lijualikali ataishi kwa kutangatanga sana, laana ya kuwasaliti wananchi Wa kilombero haitamuacha salama
Hahaha kwahiyo jua kali lamuwakia juu yake sasa?Alishaambiwa atakuwa Lijualibaridi kama hamkuelewa subirini mtaona na mtaelewa!