Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Upo nje ya muktadha ndugu yetu katika imanKwani kina Daudi sio wana wazinaa.
Yesu katokea kwenye ukoo wa zinaa.
Huyo Muhamad mwenyewe aliyeanzisha uislam ambaye chimbuko lake ni Ishmael ambaye ni mtoto wa zinaa.
Kwa Uisilamu hawezi, ni lazima angalau 2/3 ya Mali yako igawanywe kwa warithi wako unataka usitake, kama Hutaki wapate uigawe kabla hujakufa, ila ukifa Sheria inafuata mkondo.Hata ukiwa mtoto wa ndani ya ndoa; baba yako anaweza andika wosia usipate chochote na ikawa hivyo.
Baba yako akitaka upate mali yake hata kama ni wa nje ya ndoa, unapata tuu. Anaweza tumia njia nyingi tuu.
Hakuna mtoto wa zinaa hata mmoja hapo katika Ya hao uliowataja. Na kiisilamu kuclaim hivyo tayari umetoka kwenye dini ukashahadie upya.Kwani kina Daudi sio wana wazinaa.
Yesu katokea kwenye ukoo wa zinaa.
Huyo Muhamad mwenyewe aliyeanzisha uislam ambaye chimbuko lake ni Ishmael ambaye ni mtoto wa zinaa.
Quran haijawahi taja mwana wa halali na asiye halali(wa zinaa),hayo ni kama kawaida maingizo ya wayahudi kwenye uislamKATIKA UISLAMU mtoto wa nje ya ndoa (mtoto wa zinaa) hana haki ya kurithi mali ya baba yake kibiolojia kwa sababu hakuna uhusiano wa kisheria wa kifamilia kati yao.
Hata hivyo, mtoto huyo anayo haki kamili ya kurithi kwa mama yake mzazi na ukoo wa upande wa mama.
Ingawa hana urithi wa moja kwa moja kwa baba, mtoto huyo anaweza kufaidika na mali ya baba yake kupitia njia zifuatazo kama njia ya wema na usaidizi:-
WAFUASI WA YESU {WAKRISTU}
- Zawadi na Hiba: Baba anaruhusiwa kumpa mtoto huyu zawadi (Hiba) wakati wa uhai wake kama ambavyo anaweza kuwapa watu wengine.
- Wosia / Thelutthi: Baba anaweza kumuandikia mtoto huyo wosia akampatia sehemu ya mali yake. Katika Uislamu, wosia hutolewa kwa kuzingatia isizidi theluthi ya mali yote ya marehemu, huku theluthi mbili (2/3) zikibaki kwa ajili ya warithi halali.
- Wakfu: Baba anaweza kumwekea mtoto wakfu, kama vile nyumba au shamba, ili mtoto huyo aweze kunufaika na matunda au pato la mali hiyo wakati wa uhai wake
1. Mtoto wa Zinaa, mlipeana mimba hata kama ina wiki mbili ndio mkaoana, huyo mtoto ni wa zinaa, je anapata urithi?
Upo nje ya muktadha ndugu yetu katika iman
Quran haijawahi taja mwana wa halali na asiye halali(wa zinaa),hayo ni kama kawaida maingizo ya wayahudi kwenye uislam
Hakuna mtoto wa zinaa hata mmoja hapo katika Ya hao uliowataja. Na kiisilamu kuclaim hivyo tayari umetoka kwenye dini ukashahadie upya.
Suala la mtoto kuwa halali(ndani ya ndoa) au Haram/wa nje,lipo kwenye vitabu vya kiyahudi si QuranWayahudi wameingizaje uhalali na uharamu wa mtoto wakati waasisi wa uyahudi almost ni watoto haramu(waliozaliwa na wanawake wasio wake)
Suala la mtoto kuwa halali(ndani ya ndoa) au Haram/wa nje,lipo kwenye vitabu vya kiyahudi si Quran
Sasa hapo Arabia palikua na wayshudi wengi,wakibishana na mtume alipokua hai,alipokufa,kwa kuwa huwezi ingiza aya mpya kwenye Quran ndiyo wakaleta hizo Hadith kupitia wayahudi waliojifanya masheikh kwa muda mrefu
Hakuwa Haram,kuna Sheria ipo hata kwenye uislam,suria/mtumea ukiamua kufunga nae ndoa basi unamwambia tu bila kumpa mahari, ndiyo hiyo aliutumia Ibrahim kwa hajraIshmael alikuwa mtoto haramu,
Kipi unabisha?
Mtoto wa zinaa ndiyo mtoto Haram,wayahudi humuhesabu yesu mtoto wa zinaa wakiamini Maryam alizini akasingizia MunguToa reference sasa.
Torati yote ya Musa yenye mamia ya sheria haina hizo sheria za mtoto haramu. Wala dhana ya mtoto haramu. Ila watoto wa zinaa wapo
Hakuwa Haram,kuna Sheria ipo hata kwenye uislam,suria/mtumea ukiamua kufunga nae ndoa basi unamwambia tu bila kumpa mahari, ndiyo hiyo aliutumia Ibrahim kwa hajra
Mtoto wa zinaa ndiyo mtoto Haram,wayahudi humuhesabu yesu mtoto wa zinaa wakiamini Maryam alizini akasingizia Mungu