Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Wenzio wanaongelea upande wa dini
Ndio tumeingia huko kwenye Dini sasa.
Wenzio wanaongelea upande wa dini
Sasa hapo si mnabishana bure tu maana mnatumia maandiko tofautiHakuwa mtumwa acha ubishi.
Kama angekuwa mtumwa alipofukuzwa asingeondoka na Ishmael mwanaye.
Sijui kama unaelewa sheria za wakati huo.
Kingine, Hujui Ibrahim alimpata wapi huyo Hajri ndio maana lazima ushindwe huku mbele
Kwa mujibu wa Uislamu Ismail sio mtoto wa zinaa wala Daudi pia sio
Kwamba Ibrahim hakuwa na dini?Sheria ipi ya Dini unaposema Dini yao?
Hii hoja au kioja,unampangia mtu muda wa kukata tamaa,kufanya jambo lake?Hivi unaelewa unajadili nini hapa?
Unajua Ibrahim alipata mtoto wa kwanza akiwa na miaka mingapi?
Kama sheria ya dini yao inaruhusu kwa nini asubiri umri huo asingeoa (kuongeza mke) tangu akiwa kijana akasubiri akiwa mzee?
Kama hajri alikuwa mkewe mbona Sarah ndiye alikuwa na mamlaka ya kumfukuza Hajri(kijakazi wake)?
Sasa hapo si mnabishana bure tu maana mnatumia maandiko tofauti
Kwamba Ibrahim hakuwa na dini?
Hii hoja au kioja,unampangia mtu muda wa kukata tamaa,kufanya jambo lake?
Waandishi wa biblia wanaotaja umri halisi wa Ibrahim waongo, Ibrahim alizaliwa ur Iraq ya leo,hapo palestina alihamia,nani alikua na cheti cha kuzaliwa cha Ibrahim?
Mimi naongelea upande wa Uislamu kwa hiyo hayo uliyosema kwa upande wetu sio sahihi maana watoto wote wawili hakuna walichorithi na wala Hajra hakufukuzwaKwa nini sasa kama sio mtoto wa zinaa Ibrahim Babaye hakumrithisha Mali licha ya kuwa ndiye mtoto wake wa kwanza?
Pili, kwa nini Hajri alifukuzwa wakati uislam unamtambua kama Mke halali? Upande wa Biblia na maandishi ya kiyahudi yakimuona kama kijakazi tuu
Baba zetu huko Mpwapwike hawajui hata Wosia ni kitu Gani.Hata ukiwa mtoto wa ndani ya ndoa; baba yako anaweza andika wosia usipate chochote na ikawa hivyo.
Baba yako akitaka upate mali yake hata kama ni wa nje ya ndoa, unapata tuu. Anaweza tumia njia nyingi tuu.
Zinaa ni tendo la ngono na kufanya mapenzi kati ya mwanamume na mwanamke nje ya mfumo halali wa ndoaHii tafsiri ya zinaa ni potofu
Mimi naongelea upande wa Uislamu kwa hiyo hayo uliyosema kwa upande wetu sio sahihi maana watoto wote wawili hakuna walichorithi na wala Hajra hakufukuzwa
Hatuwezi kutumia yote kwa wakati mmoja maana yanakinzanaTutatumia yote alafu tutaangalia mantiki. Yenye mashiko.
Maandiko yenyewe tumeyakuta. Tutaangalia mantiki kwenye hizo stori.
Hoja ya kusema Hajri alikuwa mke wa ibrahim inakosa mashiko kutokana na sababu nilizotoa huko juu
Ndio maana tunaita wawekezaji waje kuchukua madini na mali huko maana miaka 60 na hamjui !Baba zetu huko Mpwapwike hawajui hata Wosia ni kitu Gani.
Hatuwezi kutumia yote kwa wakati mmoja maana yanakinzana
Kama wazazi waliweza kufanya mapenzi wao sasa mtoto anahusika na nini.KATIKA UISLAMU mtoto wa nje ya ndoa (mtoto wa zinaa) hana haki ya kurithi mali ya baba yake kibiolojia kwa sababu hakuna uhusiano wa kisheria wa kifamilia kati yao.
Hata hivyo, mtoto huyo anayo haki kamili ya kurithi kwa mama yake mzazi na ukoo wa upande wa mama.
Ingawa hana urithi wa moja kwa moja kwa baba, mtoto huyo anaweza kufaidika na mali ya baba yake kupitia njia zifuatazo kama njia ya wema na usaidizi:-
Soma Pia: Watoto wa ndani ya Ndoa wapewe urithi zaidi ya watoto wa nje ya ndoa
- Zawadi na Hiba: Baba anaruhusiwa kumpa mtoto huyu zawadi (Hiba) wakati wa uhai wake kama ambavyo anaweza kuwapa watu wengine.
- Wosia / Thelutthi: Ba hana hatia hapo
Mtoto haWAFUASI WA YESU {WAKRISTU}
- ba anaweza kumuandikia mtoto huyo wosia akampatia sehemu ya mali yake. Katika Uislamu, wosia hutolewa kwa kuzingatia isizidi theluthi ya mali yote ya marehemu, huku theluthi mbili (2/3) zikibaki kwa ajili ya warithi halali.
- Wakfu: Baba anaweza kumwekea mtoto wakfu, kama vile nyumba au shamba, ili mtoto huyo aweze kunufaika na matunda au pato la mali hiyo wakati wa uhai wake
1. Mtoto wa Zinaa, mlipeana mimba hata kama ina wiki mbili ndio mkaoana, huyo mtoto ni wa zinaa, je anapata urithi?
Emmanuel a.k.a Yesu anakuwaje mtoto wa Zinaa wakati mimba yake kwa Miriam ilikuwa kwa uwezo wa roho mtakatifu na siyo kwa Yusufu kufanya mapenzi na Miriam?Kwa zana hiyohiyo Mtoto wa zinaa ndio kina Ishmael, Daudi, Yesu, Ibrahim mwenyewe ni watoto wa zinaa.
Baba zetu huko Mpwapwike hawajui hata Wosia ni kitu Gani.
Zamani sana 1980"s nikiwa UDSM watu kama wewe tuliwaita "vilaza" na watu wa "Vapour" na "hayawani" ila leo tunataka upende kujifunza walau utoe Tonggo tongo, hakuna kilichobadilika.Sheria za Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania upande wa Mirathi zinamtambua kama mtoto sawa na watoto wengine
Akifika Mahakamani atapatiwa Mirathi sawa sawa na hao watoto wengine
Bye the Way, Tafuta Chako ukiona unawaza waza mirathi au kugombea mali za mwingine aliechuma umeFAIL katika utafutaji
Emmanuel a.k.a Yesu anakuwaje mtoto wa Zinaa wakati mimba yake kwa Miriam ilikuwa kwa uwezo wa roho mtakatifu na siyo kwa Yusufu kufanya mapenzi na Miriam?