"Mwana wa Zinaa" Kiislamu HANA URITHI, Wakristo ninyi vipi, mnawapa urithi?

"Mwana wa Zinaa" Kiislamu HANA URITHI, Wakristo ninyi vipi, mnawapa urithi?

Kuitwa "mtoto wa zinaa" na "kafiri" lipi linauma zaidi dear?
Duh, nimekuwa dear tena au ndio uzungu, lakini sawa, kumuita mtu kafir au mtoto wa zinaa ni kitendo hicho hicho kinachosababishwa na sababu hiyo hiyo, yaani imani, suala sio kuuma ila nauona uwalakini ndani ya moyo wa anayejitia kuamini huku akimuita mwenzie majina yasio na staha
 
Dini ni uchizi

Sasa mtoto ana kosa Gani mpaka asipewe urithi. 😁😁

Idiots
Mambo ya ajabu sana,
Haya maandiko ya bronze age ya wachunga mbuzi yamepitwa na wakati.
 
Bahati mbaya familia nyingi nilizo karibu nazo watoto wa nje ndio wametokea kuwa na uelewa yaani kama mna vitega uchumi ndio wanatokea kuwa wasimamizi wazuri sana wa mali. Wa ndani ya ndoa wengi wanaangukia kwenye bangi na mambo mengine yasioleweka. Watoto wa nje ndio wengi nimeona wanaziokoa familia.

Mimi pia ni mtoto wa nje,lakini tangu nimemaliza la saba nikaondoka home kwenda kupambana. Hatimaye mimi ndio nimekuja kuwajengea home
Umeona ulichotaka kuona (confirmation bias)
 
Muachage ujuha wa kidini, watoto wote wako sawa na wanastahili kupata mgao wa baba yao, hakuna mtoto wa ndoa na nje ya ndoa, wote ni sawa na baba yao ni mmoja aliyewaleta duniani. Ni imani za kishenzi ndizo zinazobagua watoto.
 
Asingefukuzwa.

Hata kama hakusema lakini alikuwa mtoto wa nje ndio maana alifukuzwa na Mungu aliidhinisha kufukuzwa kwake.

MWANZO 21​

. 10. Basi, Sara akamwambia Abrahamu, “Mfukuzie mbali mjakazi huyu na mwanawe. Haiwezekani kabisa mtoto wa mjakazi kurithi pamoja na mwanangu Isaka.”
Haya maneno ya mwanamke mwenye wivu
11. Jambo hili lilimhuzunisha sana Abrahamu kwa kuwa Ishmaeli pia alikuwa mtoto wake.
Kama alikua mtoto wake basi Ishmael ndiyo yule mwana wa pekee, maana wakati anazaliwa Ibrahim hakuwa na mtoto mwingine
12. Lakini Mungu akamwambia Abrahamu, “Usihuzunike kwa sababu ya mtoto huyu, wala huyo mtumwa wako wa kike. Lolote akuambialo Sara lifanye; kwa kweli wazawa wako watatokana na Isaka
Ulikataa kwamba hajra hakuwa 'mtumwa' wa Ibrahim
Hapa kuna hoja zifuatazo;
1. Mungu hamtambui Hajiri kama Mke wa ibrahimu. Anamtambua Hajiri kama mtumwa wa kike wa Ibrahim
Mwanzo 16:3 (BHN) - Kisha, Sarai akampa Abramu Hagari, | YouVersion Mwanzo 16:3 (BHN) - Kisha, Sarai akampa Abramu Hagari, | YouVersion
2. Sarah anamtambua Hajri kama kijakazi.
Kawaida wanawake kudharau wenzao katika Hali kama hiyo
Msimuliaji yeye anasemaje?
 
Mwanzo 16:3 (BHN) - Kisha, Sarai akampa Abramu Hagari, | YouVersion Mwanzo 16:3 (BHN) - Kisha, Sarai akampa Abramu Hagari, | YouVersion

Unajua maana ya mke?..kama alikua mke Ishmael anakuaje mtoto wa haramu?
Mwanzo 16:1-2
[1]Basi Sarai mkewe Abramu hakumzalia mwana, naye alikuwa na mjakazi, Mmisri, jina lake Hajiri.

[2]Sarai akamwambia Abramu, Basi sasa, BWANA amenifunga tumbo nisizae, umwingilie mjakazi wangu labda nitapata uzao kwa yeye. Abramu akaisikiliza sauti ya Sarai.
 
Asingefukuzwa.

Hata kama hakusema lakini alikuwa mtoto wa nje ndio maana alifukuzwa na Mungu aliidhinisha kufukuzwa kwake.

MWANZO 21​

. 10. Basi, Sara akamwambia Abrahamu, “Mfukuzie mbali mjakazi huyu na mwanawe. Haiwezekani kabisa mtoto wa mjakazi kurithi pamoja na mwanangu Isaka.”

11. Jambo hili lilimhuzunisha sana Abrahamu kwa kuwa Ishmaeli pia alikuwa mtoto wake.

12. Lakini Mungu akamwambia Abrahamu, “Usihuzunike kwa sababu ya mtoto huyu, wala huyo mtumwa wako wa kike. Lolote akuambialo Sara lifanye; kwa kweli wazawa wako watatokana na Isaka

Hapa kuna hoja zifuatazo;
1. Mungu hamtambui Hajiri kama Mke wa ibrahimu. Anamtambua Hajiri kama mtumwa wa kike wa Ibrahim

2. Sarah anamtambua Hajri kama kijakazi.

Msimuliaji yeye anasemaje?
Sasa biblia inasema alikua mke,wewe unasema angekua mke asingefukuzwa,hivi hiyo ni hoja ya maana kweli!?..hujaona ndoa mume humsikiliza mke mmoja kuliko mwingine!?
Tena ndani ya biblia Mungu anaahidi kuufanyia makubwa uzao wa Ishmael
 
Mwanzo 16:1-2
[1]Basi Sarai mkewe Abramu hakumzalia mwana, naye alikuwa na mjakazi, Mmisri, jina lake Hajiri.

[2]Sarai akamwambia Abramu, Basi sasa, BWANA amenifunga tumbo nisizae, umwingilie mjakazi wangu labda nitapata uzao kwa yeye. Abramu akaisikiliza sauti ya Sarai.
Endelea 16:3, mbona umeishia njiani
 
Endelea 16:3, mbona umeishia njiani
Nimekuonyesha sababu za Abrahamu kulala na huyo mjakazi hakuwa mke, na kwa kiswahili chepesi ni Sarah ndiye aliyesababisha Abrahamu akalala na mtumwa wake
 
Nimekuonyesha sababu za Abrahamu kulala na huyo mjakazi hakuwa mke, na kwa kiswahili chepesi ni Sarah ndiye aliyesababisha Abrahamu akalala na mtumwa wake
Kwamba Ibrahim alizini?
 
Hakuna zinaa mtoto ni mtoto..!!
Wote tulitafutwa kwa njia ya aina moja.
 
Niendelee wakati hiyo aya imesema alikua mke,na ndiyo msingi wa mdahalo

Hiyo aya mzungumzaji unamjua? Au unajisomea tuu.

Biblia haisomwi hivyo.
Hiyo ni simulizi.
Kuna msimuliaji ambaye hapo ni Nabii Musa.
Kuna sehemu ananukuu mazungumzo ya wahusika kama Sarah, ibrahim na Mungu.
Alafu kuna sehemu anasimulia msimuliaji.

Haya hiyo aya anayesema Hajri nu mke wa Ibrahim ni nani?
 
Back
Top Bottom