"Mwana wa Zinaa" Kiislamu HANA URITHI, Wakristo ninyi vipi, mnawapa urithi?

"Mwana wa Zinaa" Kiislamu HANA URITHI, Wakristo ninyi vipi, mnawapa urithi?

Twende na huyo mmoja kwanza kisha tutafuata hao wengine.
Huyo Ishmael.

Hajri alikuwa kijakazi wa Sarah. Tena wala sio kwamba alikuwa kijakazi wa ibrahim
Kwamba Sarah alimnunua hajra, mwanamke mkaa nyumbani awe na pesa ya kununua mtumwa kuliko mumewe, Ibrahim alimnunua hajra amsaidie kazi mkewe mzee
 
Wewe unajua hata huyo Sarah na Ibrahim ni mtu na dada/kakaake?
Hii haina mantiki kwenye mdahalo
Tufanye Hajri alinunuliwa(ingawaje vitabu vinaeleza vingine) wewe uliwahi kuona Mke ananunuliwa?
Jitahidi uelewe na kuzingatia maelezo ya mtu
Ibrahim hakumnunua hajra kama mke bali mtumwa/mja kazi
Ilipofika uzazi shida kwa mkewe na umri unakombia,kwa kuwa Sheria ya dini Yao iliruhusu, Ibrahim akamuingilia mjakazi wake na automatically akawa mkewe

By the way mahari ni bei ya mke
 
KATIKA UISLAMU mtoto wa nje ya ndoa (mtoto wa zinaa) hana haki ya kurithi mali ya baba yake kibiolojia kwa sababu hakuna uhusiano wa kisheria wa kifamilia kati yao.
Hata hivyo, mtoto huyo anayo haki kamili ya kurithi kwa mama yake mzazi na ukoo wa upande wa mama.
Ingawa hana urithi wa moja kwa moja kwa baba, mtoto huyo anaweza kufaidika na mali ya baba yake kupitia njia zifuatazo kama njia ya wema na usaidizi:-
  • Zawadi na Hiba: Baba anaruhusiwa kumpa mtoto huyu zawadi (Hiba) wakati wa uhai wake kama ambavyo anaweza kuwapa watu wengine.
  • Wosia / Thelutthi: Baba anaweza kumuandikia mtoto huyo wosia akampatia sehemu ya mali yake. Katika Uislamu, wosia hutolewa kwa kuzingatia isizidi theluthi ya mali yote ya marehemu, huku theluthi mbili (2/3) zikibaki kwa ajili ya warithi halali.
  • Wakfu: Baba anaweza kumwekea mtoto wakfu, kama vile nyumba au shamba, ili mtoto huyo aweze kunufaika na matunda au pato la mali hiyo wakati wa uhai wake
WAFUASI WA YESU {WAKRISTU}
1. Mtoto wa Zinaa, mlipeana mimba hata kama ina wiki mbili ndio mkaoana, huyo mtoto ni wa zinaa, je anapata urithi?
Kwa hiyo hizo ulizoandika ni urithi au ni nini? Wosia sio ndio kuacha urithi huko? Au lugha inakuchanganya? Unajipiga kidole halafu unanusa?
 
Hakuwa mtumwa acha ubishi.

Kama angekuwa mtumwa alipofukuzwa asingeondoka na Ishmael mwanaye.
Sijui kama unaelewa sheria za wakati huo.

Kingine, Hujui Ibrahim alimpata wapi huyo Hajri ndio maana lazima ushindwe huku mbele
Wewe rejea yako si biblia,hajra aliondoka kwa Ibrahim na mwanae Ismail kwa wivu tu wa mke mkubwa

Wapi Ibrahim alimtoa hajra doesn't matter
 
Kwa Uisilamu hawezi, ni lazima angalau 2/3 ya Mali yako igawanywe kwa warithi wako unataka usitake, kama Hutaki wapate uigawe kabla hujakufa, ila ukifa Sheria inafuata mkondo.

1/3 ya Mali pekee ndio inagawiwa kwa kufuata wosia, kama Una MTU unamkubali unataka arithi hio ndio ratio yako, awe mtoto wa Nje, mfanyakazi, kidemu chako nyumba ndogo utajua mwenyewe.

Hii inasaidia Sana kwa wale wanaoibuka baada ya MTU kufariki na kudai Mali.
Waislamu huwa mnaoa mke zaidi ya mmoja hasa hao wenye kipato. Wake wawili wakizaa watoto walau wawili wawili tiyari watoto wanne hapo.

Mtoto wa nje mmoja akipata 1/3 kisheria ikiwa baba yake alimpendelea baada ya kuona watoto wa ndoa ni matutusa. Tiyari mtoto wa nje anakuwa na urithi mkubwa kuliko wa ndani.
 
Hii haina mantiki kwenye mdahalo

Jitahidi uelewe na kuzingatia maelezo ya mtu
Ibrahim hakumnunua hajra kama mke bali mtumwa/mja kazi
Ilipofika uzazi shida kwa mkewe na umri unakombia,kwa kuwa Sheria ya dini Yao iliruhusu, Ibrahim akamuingilia mjakazi wake na automatically akawa mkewe

By the way mahari ni bei ya mke

Sheria ipi ya Dini unaposema Dini yao?

Hivi unaelewa unajadili nini hapa?
Unajua Ibrahim alipata mtoto wa kwanza akiwa na miaka mingapi?

Kama sheria ya dini yao inaruhusu kwa nini asubiri umri huo asingeoa (kuongeza mke) tangu akiwa kijana akasubiri akiwa mzee?

Kama hajri alikuwa mkewe mbona Sarah ndiye alikuwa na mamlaka ya kumfukuza Hajri(kijakazi wake)?
 
Hamna cha mtoto haramu hapo. Hiyo ni kesi ya maslahi tuu kama zamani mtoto wa kwanza au wa mwisho ndiye mrithi.

Mtoto ni mtoto.
Suala la urithi ni suala la Baba na mwenye MALI vile atakavyoona.

Pili sheria za wakati husika
Wenzio wanaongelea upande wa dini
 
Wewe rejea yako si biblia,hajra aliondoka kwa Ibrahim na mwanae Ismail kwa wivu tu wa mke mkubwa

Wapi Ibrahim alimtoa hajra doesn't matter

Hajri hakuondoka. Sema alifukuzwa na Sarah.

Kama Hajri angekuwa mke wa Ibrahim Sarah asingekuwa na mamlaka ya kumfukuza.

Ishmael ni mtoto wa zinaa. Ndio maana licha ya mtoto wake kuwa wakwanza lakini hakupata urithi kutoka kwa Ibrahim.
 
Back
Top Bottom