gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Ujuzi wa kusoma reding skills ndiyo kitu gani?Anayesema haya ni nani?
Sijui kama unaujuzi wa kusoma reading skills
Ujuzi wa kusoma reding skills ndiyo kitu gani?Anayesema haya ni nani?
Sijui kama unaujuzi wa kusoma reading skills
Kitabu kimoja cha mwanzo,panapofaa agenda yako unasema ni musa ananukuu,pasipofaa agenda zako ni msimuliajiHiyo aya mzungumzaji unamjua? Au unajisomea tuu.
Biblia haisomwi hivyo.
Hiyo ni simulizi.
Kuna msimuliaji ambaye hapo ni Nabii Musa.
Kuna sehemu ananukuu mazungumzo ya wahusika kama Sarah, ibrahim na Mungu.
Alafu kuna sehemu anasimulia msimuliaji.
Haya hiyo aya anayesema Hajri nu mke wa Ibrahim ni nani?
Biblia ina details au ina mivurugano tu!Quran haina details za kutosha kuwahusu hao wahusika.
Kuna tofauti kubwa kati ya unafiki na matusi, halafu kila dini ina misingi yake usifosi uislamu uwe Ukristo baki na unacho amini kwa mujibu wa uislamu manabii hawafanyi dhambi toka wanazaliwa kitendo cha kusema luti alizini tayari ni kumtukana mtume na kumsingizia uongoWakristo sio Wanafiki.
Tofauti na Wafuata sheria huku wakificha ukweli.
Biblia imeandikwa kulingana na maisha halisi ya hao manabii ulitaka Wakristo wasemeje? Kwamba Lutu hakuzini na watoto wake.
Haya mataifa ya Wamoabu na Waamoni walitoka wapi kama sio zao la mabinti wa Lutu kulala na Baba zao?
Kuzini kwa Wakristo ni dhambi, lakini inasameheka ndio maana Yesu alikufa mslabani kwa watu wa aina hiyo. Ndicho wakristo wanaamini.
Ishmael kisheria ni mtoto haramu
Yesu ametoka kwenye ukoo wa zinaa(haramu)
Ulitaka watu wasiseme?
Ndio maana nyie Muhamad yakisemwa makosa yake mnachukia kana kwamba Muhamad alikuwa malaika sio
Msimuliaji anasimulia kwa misingi ipi?.. maana hata hiyo Mungu akasema mtumwa wako ...ni msimuliaji ndiyo anasema
Kwa mujibu wa dini yangu Ishmael sio mtoto wa nje ya ndoa ni mtoto halali na hata zama kati ya wake hao wawili ilikuwepo tena kwa haq licha ya umbali walioishiKwa mujibu wa dini yako mtoto haramu ni yupi?
Je kwa tafsiri hiyohiyo je Ishmael ambaye ni mtoto Haramu unajua ndiye chimbuko la Muhamad aliyeleta uislam duniani?
Biblia ina details au ina mivurugano tu!
Kwa mujibu wa dini yangu Ishmael sio mtoto wa nje ya ndoa ni mtoto halali na hata zama kati ya wake hao wawili ilikuwepo tena kwa haq licha ya umbali walioishi
Sasa wewe huoni kama ndio unatakiwa uje na aya au hadith kuwa alizini maana wewe ndio umeleta jambo geni hivyo unapaswa kulithibitisha ili tukuaminiNjoo na AYA
Alafu tutajadili vigezo vya mwanamke kuwa Mke kwa mujibu wa huohuo uislam
Acha kuparaganya mambo,mtunzi Maana yake katunga hizo statementsNdio tunasema huna reading skills.
Na pengine sio msomaji wa riwaya au magazeti.
Kwenye kusimulia au kutoa ripoti kuna
Msimuliaji na wahusika wa tukio
Ukiona sehemu inasema,
Mungu akasema, au mungu akamwambia,
Au Hajri akasema au akamwambia
Au ibrahim akasema au akamwambia,
Kitakachofuata mtunzi anamnukuu mhusika sio maneno ya Mtunzi.
Kuna tofauti kubwa kati ya unafiki na matusi, halafu kila dini ina misingi yake usifosi uislamu uwe Ukristo baki na unacho amini kwa mujibu wa uislamu manabii hawafanyi dhambi toka wanazaliwa kitendo cha kusema luti alizini tayari ni kumtukana mtume na kumsingizia uongo
Sasa nani alikuwa na taarifa za kutosha kuhusu Ibrahim ili waislamu tumtumie?Muhamad hakuwa na taarifa za kutosha kuhusu Ibrahim.
Hatuwezi mtumia kama reference.
Sasa wewe huoni kama ndio unatakiwa uje na aya au hadith kuwa alizini maana wewe ndio umeleta jambo geni hivyo unapaswa kulithibitisha ili tukuamini
Quran iko wazi yesu ni nabii si mwana wa Mungu wala Mungu, wakati biblia inamtaja yesu kama Mungu mkuu,mwana wa Mungu na mtume wa MunguUkiona mivurugano kwenye Bibkia ujue Quran ni zaidi.
Kwa sababu Quran ime copy kwa kiasi kikubwa visa. Ingawaje vyakuibia havinaga details vya kutosha. Ni kurukiarukia visa
Sasa nani alikuwa na taarifa za kutosha kuhusu Ibrahim ili waislamu tumtumie?
Upo sahihiNipe Aya inayosema Nabii hafanyi dhambi kwa mujibu wa uislam
Alafu nakuletea Aya kibao zinazokuonyesha Muhamad mwenyewe anasubiri hukumu kama binadamu wengine kwa sababu hakuna binadamu asiyefanya dhambi.
Uislam unasheria ngapi, amri za mungu ni wa waislam ni zipi ili tuwapime hao manabii kwamba hawakuzivunja hizo amri za mungu wa uislam
Quran iko wazi yesu ni nabii si mwana wa Mungu wala Mungu, wakati biblia inamtaja yesu kama Mungu mkuu,mwana wa Mungu na mtume wa Mungu
Hivyo si kweli kwamba Quran ina mivurugano kuliko biblia
Muhammad ni binadam kama wengine, kusubiri hukumu haimaanishi una kosa,hukumu inaweza ikawa ni kukutakasa kuwa huna kosa,hakiki mantiki zako kabla hujaja mbele ya hadharaNipe Aya inayosema Nabii hafanyi dhambi kwa mujibu wa uislam
Alafu nakuletea Aya kibao zinazokuonyesha Muhamad mwenyewe anasubiri hukumu kama binadamu wengine kwa sababu hakuna binadamu asiyefanya dhambi.
Uislam unasheria ngapi, amri za mungu ni wa waislam ni zipi ili tuwapime hao manabii kwamba hawakuzivunja hizo amri za mungu wa uisla
Upo sahihi