"Mwana wa Zinaa" Kiislamu HANA URITHI, Wakristo ninyi vipi, mnawapa urithi?

"Mwana wa Zinaa" Kiislamu HANA URITHI, Wakristo ninyi vipi, mnawapa urithi?

Yesu kwenye Biblia sio binadamu pekee aliyeitwa Mwana wa Mungu.
Wapo wengi.

Na Biblia iko wazi ukimuamini Mungu na kutenda mapenzi yake unakuwa mwana wake(mwana wa Mungu).

Ukiwa mpatanishi unakuwa mwana wa mungu. Hiyo ni Biblia.
Ndiyo muktadha mlio nao?..ndicho kinachowafanya mumuombe yesu badala ya Mungu kwenye ibada zenu?..huwa mnamtaja Mungu huko au yesu ndiyo kila kitu muweza wa yote?..anaponya,anaokoa
 
Muhammad ni binadam kama wengine, kusubiri hukumu haimaanishi una kosa,hukumu inaweza ikawa ni kukutakasa kuwa huna kosa,hakiki mantiki zako kabla hujaja mbele ya hadhara

Mantiki ya hukumu ni kwamba kuna makosa au unashutumiwa kwa makosa.

Usiwe mjinga wa kufikiri.

Mtu asiye na makosa wala hajashutumiwa makosa hukumu kwake ya nini?
 
Ndiyo muktadha mlio nao?..ndicho kinachowafanya mumuombe yesu badala ya Mungu kwenye ibada zenu?..huwa mnamtaja Mungu huko au yesu ndiyo kila kitu muweza wa yote?..anaponya,anaokoa

Unazungumzia watu au kitabu au visa vya kwenye Biblia? Au kwenye Quran ndio kuna watu wanamtaja au kumwomba Yesu kama Mungu?
 
Adam alizaliwa

Mantiki yako ni ipi?
Kwamba Adam sio Nabii?
Au usipozaliwa ukawa nabii ndio unatenda dhambi? Ila ukizaliwa ukawa nabii hautendi dhambi?

Sheria za waislam kwa mujibu wa Quran na allah ni zipi nitajie sheria kumi za allah kisha tuwapime hao manabii
 
KATIKA UISLAMU mtoto wa nje ya ndoa (mtoto wa zinaa) hana haki ya kurithi mali ya baba yake kibiolojia kwa sababu hakuna uhusiano wa kisheria wa kifamilia kati yao.

Hata hivyo, mtoto huyo anayo haki kamili ya kurithi kwa mama yake mzazi na ukoo wa upande wa mama.
Ingawa hana urithi wa moja kwa moja kwa baba, mtoto huyo anaweza kufaidika na mali ya baba yake kupitia njia zifuatazo kama njia ya wema na usaidizi:-

Soma Pia: Watoto wa ndani ya Ndoa wapewe urithi zaidi ya watoto wa nje ya ndoa
  • Zawadi na Hiba: Baba anaruhusiwa kumpa mtoto huyu zawadi (Hiba) wakati wa uhai wake kama ambavyo anaweza kuwapa watu wengine.
  • Wosia / Thelutthi: Baba anaweza kumuandikia mtoto huyo wosia akampatia sehemu ya mali yake. Katika Uislamu, wosia hutolewa kwa kuzingatia isizidi theluthi ya mali yote ya marehemu, huku theluthi mbili (2/3) zikibaki kwa ajili ya warithi halali.
  • Wakfu: Baba anaweza kumwekea mtoto wakfu, kama vile nyumba au shamba, ili mtoto huyo aweze kunufaika na matunda au pato la mali hiyo wakati wa uhai wake
WAFUASI WA YESU {WAKRISTU}
1. Mtoto wa Zinaa, mlipeana mimba hata kama ina wiki mbili ndio mkaoana, huyo mtoto ni wa zinaa, je anapata urithi?
Vipi kwa uwezekano wa mtoto wa 'ndani ya ndoa' akawa kiukweli ni "mtoto wa nje"?
 
Mantiki ya hukumu ni kwamba kuna makosa au unashutumiwa kwa makosa.

Usiwe mjinga wa kufikiri.

Mtu asiye na makosa wala hajashutumiwa makosa hukumu kwake ya nini?
Unajua maana ya kiyama(siku ya hukumu)?..ni siku ya kupata matokeo ya mtihani, hakuna wanaopata mia hiyo mtihani?

Unafikiri vipi wewe!?..una elimu robo robo sana na hufikiri vizuri
 
Kwenye Sheria za Mungu hakuna concept ya mtoto haramu, kwasababu hayupo! ! !

Sheria za Mungu zikifuatwa kama inavyopaswa, takataka zote zinazozini / fanya uasherati ni za kupelekwa kuzimu mara moja. Wanabaki waadilifu kwenye uso wa nchi.

Na kwenye Ufalme wa Mungu hakuna eti unashika Sheria hii unavunja hii unaomba msamaha halafu imeisha.

Lazima ushike zote.

"Kwa maana mtu yeyote anayeishika sheria yote lakini akajikwaa katika kipengele kimoja tu, ana hatia ya kuivunja sheria yote.

Kwa sababu yeye aliyesema, “Usizini,” alisema pia, “Usiue.” Basi kama huzini lakini unaua, umekuwa mvunjaji wa sheria."

Yakobo.2.10-11.NENO

Ukivunja hata moja ushakosa sifa ya utakatifu inayotakiwa ili kuishi kwenye Ufalme wa MUNGU, matokeo yake ni Kifo. Hakuna chenye dhambi kinachoweza kuishi milele.

Ndiposa Bwana wa Majeshi kwa Upendo wake, akaingia ulimwenguni, akavaa umbo la binadamu, ambaye hakuwahi kufanya dhambi, ili aje amwage damu takatifu,

mtakatifu mmoja kwa ajili ya wadhambi wote, kafara takatifu,

ndiposa wadhambi wote waaminio mpango huu wa Mungu wa ukombozi wanatakaswa na kupata haki ya kuishi milele kwenye Ufalme wa MUNGU.

Wanakuwa watakatifu.

"Katika mapenzi hayo sisi tumetakaswa na kufanywa watakatifu kupitia kwa sadaka ya mwili wa Yesu Kristo alioutoa mara moja tu."
Waebrania.10.10.NENO

JESUS IS LORD !

MAKE WAY FOR THE KING OF KINGS
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Unajua maana ya kiyama(siku ya hukumu)?..ni siku ya kupata matokeo ya mtihani, hakuna wanaopata mia hiyo mtihani?

Unafikiri vipi wewe!?..una elimu robo robo sana na hufikiri vizuri

Hao watu wanaopata mia sio Mitume walioandikwa kwenye hizo Quran na Biblia.

Angalau Yesu hajaripotiwa kufanya dhambi lakini waliobaki wote ni kama wewe na mimi tuu. Tena wengine wamefanya mambo ya fedheha ambayo ni aibu kuyataja.

Ukitaka tutayaweka tuyajadili

Huyo Muhamad anayewasema watoto haramu wasirithi naye chanzo cha asili yake ni Ishmael ambaye ni mtoto haramu.
Picha linaanzia hapo.

Huyo Yesu unayemsikia wakimpigia kelele anatoka kwenye ukoo haramu, ukoo wa zinaa kutokea kwa Daudi huko mpaka kwa Yuda.

Haya niambie Nabii mtakatifu hata mmoja tuu
 
By the way Mungu amerudia tena na tena kwenye Biblia kuwa yeye ni Baba wa wasio na Baba (sijui kwanini Kiswahili wame translate kuwa yatima, ni fatherless).

Hivi kuna mjinga kweli hajamuachia mwanawe urithi akimuona ni mtoto haramu / mtoto wa zinaa? ? ?

That's one very pathetic excuse for a human being! ! ! Ni sokwe tu huyo! Pepo mchafu! !
 
Hao watu wanaopata mia sio Mitume walioandikwa kwenye hizo Quran na Biblia.

Angalau Yesu hajaripotiwa kufanya dhambi lakini waliobaki wote ni kama wewe na mimi tuu. Tena wengine wamefanya mambo ya fedheha ambayo ni aibu kuyataja.

Ukitaka tutayaweka tuyajadili

Huyo Muhamad anayewasema watoto haramu wasirithi naye chanzo cha asili yake ni Ishmael ambaye ni mtoto haramu.
Picha linaanzia hapo.

Huyo Yesu unayemsikia wakimpigia kelele anatoka kwenye ukoo haramu, ukoo wa zinaa kutokea kwa Daudi huko mpaka kwa Yuda.

Haya niambie Nabii mtakatifu hata mmoja tuu
We kijana una matatizo ya kufikiri, critical thinking kwako ni shida,sikulaumu ndivyo elimu ilivyokulea,hukufanya midahalo shuleni,ulipupia vyeti hivyo ulielimishwa na walimu wa tuition waliokufunza kufaulu mitihani
Maisha ya yesu kwenye biblia yameandikwa kuzaliwa kwake halafu wakaruka hadi akiwa na miaka 30

Hii miaka 30 hukuambiwa alikua akifanya nini,dhambi ngapi alifanya
Dhambi ni neno la kiswahili lililokopwa toka kiarabu 'dhanbi'.. maana yake kosa,hakuna binadam alae na kwenda haja hafanyi kosa
 
Kama ulisoma nilichoandika nilikuambia angalau Yesu yeye hajaripotiwa dhambi zake.
So ushahidi sina ila mitume wengine karibu wote ikiwemo Muhammad wanadhambi kama zote na wengine za aibu
 
Back
Top Bottom