Kibwengo260
Member
- May 18, 2013
- 39
- 40
Noted
Ndio ni halali as long as mke kakubali hajalazimishwa, na kuna mashahidi walioona kitendo cha kukubali.Kwahiyo ndoa ya bomani ni halali?
Sijakuambia mambo ya holi Ikiwa ndoa hata isipokuwa ya kiislamu Mungu anaikubali sass iweje Mungu asiwasikie maombi yao?Ndio ni halali as long as mke kakubali hajalazimishwa, na kuna mashahidi walioona kitendo cha kukubali.
Achana na Bomani ndoa ya kiisilamu hata Barazani ni ndoa sio lazima kuwe na holi pamoja na sherehe. Hadi zile ndoa za mkeka zinaweza kuwa halali incase zikikidhi Masharti.
Sijaelewa mantiki yako, umesoma comment yangu? Hayo maombi yanahusiana nini na ulichouliza na nilichokujibu?Sijakuambia mambo ya holi Ikiwa ndoa hata isipokuwa ya kiislamu Mungu anaikubali sass iweje Mungu asiwasikie maombi yao?
Si munasema kitu chechote nje ya taratibu za uislamu ni batili?Sijaelewa mantiki yako, umesoma comment yangu? Hayo maombi yanahusiana nini na ulichouliza na nilichokujibu?
Kiislam wosia wa kumnyima mtu mali si halali.Hata ukiwa mtoto wa ndani ya ndoa; baba yako anaweza andika wosia usipate chochote na ikawa hivyo.
Baba yako akitaka upate mali yake hata kama ni wa nje ya ndoa, unapata tuu. Anaweza tumia njia nyingi tuu.
Suleimani ni mtoto wa zinaa.. Huyo ni mtoto aliyepatikana baada ya Daudi kuzini na mke wa Uria.. sasa si ndiyo huko huko tu mpaka tukampata YesuHakuna mtoto wa zinaa hata mmoja hapo katika Ya hao uliowataja. Na kiisilamu kuclaim hivyo tayari umetoka kwenye dini ukashahadie upya.
Dini zingine zina ujinga mwingi sana. Ukavue nguo kisha apatikane mtoto awe mwana wa zinaa halafu baba na mama siyo zinaa😃😃😃KATIKA UISLAMU mtoto wa nje ya ndoa (mtoto wa zinaa) hana haki ya kurithi mali ya baba yake kibiolojia kwa sababu hakuna uhusiano wa kisheria wa kifamilia kati yao.
Hata hivyo, mtoto huyo anayo haki kamili ya kurithi kwa mama yake mzazi na ukoo wa upande wa mama.
Ingawa hana urithi wa moja kwa moja kwa baba, mtoto huyo anaweza kufaidika na mali ya baba yake kupitia njia zifuatazo kama njia ya wema na usaidizi:-
Soma Pia: Watoto wa ndani ya Ndoa wapewe urithi zaidi ya watoto wa nje ya ndoa
WAFUASI WA YESU {WAKRISTU}
- Zawadi na Hiba: Baba anaruhusiwa kumpa mtoto huyu zawadi (Hiba) wakati wa uhai wake kama ambavyo anaweza kuwapa watu wengine.
- Wosia / Thelutthi: Baba anaweza kumuandikia mtoto huyo wosia akampatia sehemu ya mali yake. Katika Uislamu, wosia hutolewa kwa kuzingatia isizidi theluthi ya mali yote ya marehemu, huku theluthi mbili (2/3) zikibaki kwa ajili ya warithi halali ambo si zao la zinaa.
- Wakfu: Baba anaweza kumwekea mtoto wakfu, kama vile nyumba au shamba, ili mtoto huyo aweze kunufaika na matunda au pato la mali hiyo wakati wa uhai wake
1. Mtoto wa Zinaa, mlipeana mimba hata kama ina wiki mbili ndio mkaoana, huyo mtoto ni wa zinaa, je anapata urithi?
mmhQuran haijawahi taja mwana wa halali na asiye halali(wa zinaa),hayo ni kama kawaida maingizo ya wayahudi kwenye uislam
Naam
Ngono(jimai) na zinaa(ngono bila ndoa) ni vitu viwili tofauti,jimai na zinaa ni maneno ya kiarabuWATOTO WOTE NI TOKEO LA ZINAA YAANI NGONO HIVYO WATOTO WOTE NI HALALI KWANI HAKUNA BAO LA MKONO KITANDANI.
HIZI DINI ZENU KAZI ZAKE NI UBAGUZI NA MATABAKA.
Sio kwa Imani ya kiisilamu, kwetu Daudi hajazini wala kuua, na si Daud Tu ina apply kwa mitume yote.Suleimani ni mtoto wa zinaa.. Huyo ni mtoto aliyepatikana baada ya Daudi kuzini na mke wa Uria.. sasa si ndiyo huko huko tu mpaka tukampata Yesu
Baki na dini yako na msimamo yake ya kikatiliKATIKA UISLAMU mtoto wa nje ya ndoa (mtoto wa zinaa) hana haki ya kurithi mali ya baba yake kibiolojia kwa sababu hakuna uhusiano wa kisheria wa kifamilia kati yao.
Hata hivyo, mtoto huyo anayo haki kamili ya kurithi kwa mama yake mzazi na ukoo wa upande wa mama.
Ingawa hana urithi wa moja kwa moja kwa baba, mtoto huyo anaweza kufaidika na mali ya baba yake kupitia njia zifuatazo kama njia ya wema na usaidizi:-
Soma Pia: Watoto wa ndani ya Ndoa wapewe urithi zaidi ya watoto wa nje ya ndoa
WAFUASI WA YESU {WAKRISTU}
- Zawadi na Hiba: Baba anaruhusiwa kumpa mtoto huyu zawadi (Hiba) wakati wa uhai wake kama ambavyo anaweza kuwapa watu wengine.
- Wosia / Thelutthi: Baba anaweza kumuandikia mtoto huyo wosia akampatia sehemu ya mali yake. Katika Uislamu, wosia hutolewa kwa kuzingatia isizidi theluthi ya mali yote ya marehemu, huku theluthi mbili (2/3) zikibaki kwa ajili ya warithi halali ambo si zao la zinaa.
- Wakfu: Baba anaweza kumwekea mtoto wakfu, kama vile nyumba au shamba, ili mtoto huyo aweze kunufaika na matunda au pato la mali hiyo wakati wa uhai wake
1. Mtoto wa Zinaa, mlipeana mimba hata kama ina wiki mbili ndio mkaoana, huyo mtoto ni wa zinaa, je anapata urithi?
Ila neno la Kiswahili zote ni ngono.Tubaki kwenye Kiswahili kwanza.Ngono(jimai) na zinaa(ngono bila ndoa) ni vitu viwili tofauti,jimai na zinaa ni maneno ya kiarabu