"Mwana wa Zinaa" Kiislamu HANA URITHI, Wakristo ninyi vipi, mnawapa urithi?

Kwahiyo ndoa ya bomani ni halali?
Ndio ni halali as long as mke kakubali hajalazimishwa, na kuna mashahidi walioona kitendo cha kukubali.

Achana na Bomani ndoa ya kiisilamu hata Barazani ni ndoa sio lazima kuwe na holi pamoja na sherehe. Hadi zile ndoa za mkeka zinaweza kuwa halali incase zikikidhi Masharti.
 
Sijakuambia mambo ya holi Ikiwa ndoa hata isipokuwa ya kiislamu Mungu anaikubali sass iweje Mungu asiwasikie maombi yao?
 
Sijakuambia mambo ya holi Ikiwa ndoa hata isipokuwa ya kiislamu Mungu anaikubali sass iweje Mungu asiwasikie maombi yao?
Sijaelewa mantiki yako, umesoma comment yangu? Hayo maombi yanahusiana nini na ulichouliza na nilichokujibu?
 
Wazo la mtoto wa nje ya ndoa ni wazo baya , la kikoloni lililopitwa na wakati.

Mtoto ni mtoto. Kitamda hakizai haramu. Tamaduni zetu kiafrika zinathamini watoto wote.. wazungu na waarabu wamekuja kuzua taharuki na mawazo yao ya chuki dhidi ya taasisi ya familia.
 
WATOTO WOTE NI TOKEO LA ZINAA YAANI NGONO HIVYO WATOTO WOTE NI HALALI KWANI HAKUNA BAO LA MKONO KITANDANI.

HIZI DINI ZENU KAZI ZAKE NI UBAGUZI NA MATABAKA.
 
Biologically hayo yote ni upumbavu, hakuna mtoto wa zinaa. Kosa la baba Wala si la mtoto. Mtoto ametoka kwenye kiuno Cha baba yake. Baba anatakiwa awe kichwa Cha familia na atoe Haki sawa kwa watoto wake wote aliowapata kutoka kwenye kiuno chake. Na anatakiwe awajibike kuwatunza sawasawa tofauti na hapo ni kwenda kinyume na baba yako wa mbinguni😄
 
Hata ukiwa mtoto wa ndani ya ndoa; baba yako anaweza andika wosia usipate chochote na ikawa hivyo.
Baba yako akitaka upate mali yake hata kama ni wa nje ya ndoa, unapata tuu. Anaweza tumia njia nyingi tuu.
Kiislam wosia wa kumnyima mtu mali si halali.
 
Hakuna mtoto wa zinaa hata mmoja hapo katika Ya hao uliowataja. Na kiisilamu kuclaim hivyo tayari umetoka kwenye dini ukashahadie upya.
Suleimani ni mtoto wa zinaa.. Huyo ni mtoto aliyepatikana baada ya Daudi kuzini na mke wa Uria.. sasa si ndiyo huko huko tu mpaka tukampata Yesu
 
Dini zingine zina ujinga mwingi sana. Ukavue nguo kisha apatikane mtoto awe mwana wa zinaa halafu baba na mama siyo zinaa😃😃😃
 
Waisrael wa kiafrika na Waarabu wa kiafrika wapo katika mpambano wa hoja😅
 
WATOTO WOTE NI TOKEO LA ZINAA YAANI NGONO HIVYO WATOTO WOTE NI HALALI KWANI HAKUNA BAO LA MKONO KITANDANI.

HIZI DINI ZENU KAZI ZAKE NI UBAGUZI NA MATABAKA.
Ngono(jimai) na zinaa(ngono bila ndoa) ni vitu viwili tofauti,jimai na zinaa ni maneno ya kiarabu
 
Suleimani ni mtoto wa zinaa.. Huyo ni mtoto aliyepatikana baada ya Daudi kuzini na mke wa Uria.. sasa si ndiyo huko huko tu mpaka tukampata Yesu
Sio kwa Imani ya kiisilamu, kwetu Daudi hajazini wala kuua, na si Daud Tu ina apply kwa mitume yote.
 
Baki na dini yako na msimamo yake ya kikatili

Nasi tubaki na dini yetuuu na uwe na misimamo usiwe unarukaruka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…