"Mwana wa Zinaa" Kiislamu HANA URITHI, Wakristo ninyi vipi, mnawapa urithi?

Dini zingine zina ujinga mwingi sana. Ukavue nguo kisha apatikane mtoto awe mwana wa zinaa halafu baba na mama siyo zinaaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Hii kitu haina kupinga maana waarabu ndio wametuletea na hatuwezi kupinga!
 
Hii kitu haina kupinga maana waarabu ndio wametuletea na hatuwezi kupinga!
Kisheria huyo ni mtoto wako na anastahili haki zote kwasababu wewe ndiyo ulimleta.
Umfuate mwananke, umtongoze ukalale naye kisha azaliwe mtoto useme ni mtoto wa zinaa😁😁😁

Ufanye zinaa halafu uje usingizie dini inasema hivyo. Hiyo dini itakuwa ya kijinga sana.
 
Tunazungumzi sheria, hakuna dini katili, zote ni za Mungu japo Mungu si mmoja, kuna Mungu wa wale na wa hawa.
Dini ni mpango wa mwanadamu. Anayesema dini ya Mungu basi huyo ni muongo.
Mungu ni dini gani? Kuna mtu aliyewahi kumuona Mungu? Kama Mungu ni muislamu basi nilitegemea waislamu wote duniani wangekuwa na maisha mazuri, vitu, bidhaa na huduma zote wangekuwa wanatoa wenyewe.
Mpaka leo hii hakuna nchi ya kiislamu yoyote duniani inayotengeneza magari, ndege, tv, simu na laptop 😁😁😁😁
Mpaka leo hii hakuna nchi ya kiislamu duniani iliyowahi kushinda kombe la dunia😁😁😁
Mungu hana dini, wajanja hapa duniani ndiyo walianzisha dini ndiyo maana mtu yoyote anapata ridhiki na anaishi vizuri tu
 
Both wakristo na waislamu na madhehbu mengine kila mmoja ana-claim kuwa "mungu wao "ndio Mungu ila ifahamike , kama upo na Dini, hizo hata Yesu alizikuta, akaleta wokovu, kama huna wokovu wewe bado ni mpango wa wanadamu, upotevuni.
 
Both wakristo na waislamu na madhehbu mengine kila mmoja ana-claim kuwa "mungu wao "ndio Mungu ila ifahamike , kama upo na Dini, hizo hata Yesu alizikuta, akaleta wokovu, kama huna wokovu wewe bado ni mpango wa wanadamu, upotevuni.
Allah ni muislamu anawapenda waislamu tu kama siyo muislamu basi wewe umepotea
 
Allah ni muislamu anawapenda waislamu tu kama siyo muislamu basi wewe umepotea
kweli kabisa, Sisi waislamu kwetu ni pepoi na huko tutapata stareheh na wananakw 72 bikr na tuna mungu wetu an "wao wakristo" wana Mungu wao na amewaambia huko hakuna kuoa wala kuolewa na hakuna mwanamk wala mwanaume, ni kumuimbia na kumsifu huyo Mungu, sasa tusigombane wakati kila mmoja ana mbingu yake!
 
Hivi hio β…“ katika percent ni ngap?
 
Hata ukiwa mtoto wa ndani ya ndoa; baba yako anaweza andika wosia usipate chochote na ikawa hivyo.
Baba yako akitaka upate mali yake hata kama ni wa nje ya ndoa, unapata tuu. Anaweza tumia njia nyingi tuu.
Kisheria baba hawezi kuninyima uridhi bila kutoa sababu zenye mashiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…