gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Hajra alikua mtumwa, uislam ni kujisalimisha kwa mwenyezi Mungu mmoja asiyefanana na chochote,hakuzaa wala hakuzaliwa,muumba wa kila kituIbrahim hakuwa muislam. Hizo sheria za kiislam zimekuja na Muhammad.
Hajri mamaake Ishmael alikuwa kijakazi(Bekitatu). Hakuwahi kuwa Mke wa ibrahimu.
Hakuna mtoto wa zinaa kati ya haoKwa zana hiyohiyo Mtoto wa zinaa ndio kina Ishmael, Daudi, Yesu, Ibrahim mwenyewe ni watoto wa zinaa.
Hajra alikua mtumwa, uislam ni kujisalimisha kwa mwenyezi Mungu mmoja asiyefanana na chochote,hakuzaa wala hakuzaliwa,muumba wa kila kitu
Hakuna mtoto wa zinaa kati ya hao
Kwamba Sarah alimnunua hajra, mwanamke mkaa nyumbani awe na pesa ya kununua mtumwa kuliko mumewe, Ibrahim alimnunua hajra amsaidie kazi mkewe mzeeTwende na huyo mmoja kwanza kisha tutafuata hao wengine.
Huyo Ishmael.
Hajri alikuwa kijakazi wa Sarah. Tena wala sio kwamba alikuwa kijakazi wa ibrahim
Alikua mtumwa,mtumwa unaweza mfanyisha kazi bila malipoHajra hakuwa mtumwa.
Hajira alijuwa kijakazi.
Hujui hata wazazi wa Hajra ni kina nani. Na ibrahimu alimpata wapi Hajira.
Ndio maana huna uelewa wowote.
Kwamba Sarah alimnunua hajra, mwanamke mkaa nyumbani awe na pesa ya kununua mtumwa kuliko mumewe, Ibrahim alimnunua hajra amsaidie kazi mkewe mzee
Alikua mtumwa,mtumwa unaweza mfanyisha kazi bila malipo
Hii haina mantiki kwenye mdahaloWewe unajua hata huyo Sarah na Ibrahim ni mtu na dada/kakaake?
Jitahidi uelewe na kuzingatia maelezo ya mtuTufanye Hajri alinunuliwa(ingawaje vitabu vinaeleza vingine) wewe uliwahi kuona Mke ananunuliwa?
Kwa hiyo hizo ulizoandika ni urithi au ni nini? Wosia sio ndio kuacha urithi huko? Au lugha inakuchanganya? Unajipiga kidole halafu unanusa?KATIKA UISLAMU mtoto wa nje ya ndoa (mtoto wa zinaa) hana haki ya kurithi mali ya baba yake kibiolojia kwa sababu hakuna uhusiano wa kisheria wa kifamilia kati yao.
Hata hivyo, mtoto huyo anayo haki kamili ya kurithi kwa mama yake mzazi na ukoo wa upande wa mama.
Ingawa hana urithi wa moja kwa moja kwa baba, mtoto huyo anaweza kufaidika na mali ya baba yake kupitia njia zifuatazo kama njia ya wema na usaidizi:-
WAFUASI WA YESU {WAKRISTU}
- Zawadi na Hiba: Baba anaruhusiwa kumpa mtoto huyu zawadi (Hiba) wakati wa uhai wake kama ambavyo anaweza kuwapa watu wengine.
- Wosia / Thelutthi: Baba anaweza kumuandikia mtoto huyo wosia akampatia sehemu ya mali yake. Katika Uislamu, wosia hutolewa kwa kuzingatia isizidi theluthi ya mali yote ya marehemu, huku theluthi mbili (2/3) zikibaki kwa ajili ya warithi halali.
- Wakfu: Baba anaweza kumwekea mtoto wakfu, kama vile nyumba au shamba, ili mtoto huyo aweze kunufaika na matunda au pato la mali hiyo wakati wa uhai wake
1. Mtoto wa Zinaa, mlipeana mimba hata kama ina wiki mbili ndio mkaoana, huyo mtoto ni wa zinaa, je anapata urithi?
Kwa mujibu wa Uislamu Ismail sio mtoto wa zinaa wala Daudi pia sioKwani kina Daudi sio wana wazinaa.
Yesu katokea kwenye ukoo wa zinaa.
Huyo Muhamad mwenyewe aliyeanzisha uislam ambaye chimbuko lake ni Ishmael ambaye ni mtoto wa zinaa.
Wewe rejea yako si biblia,hajra aliondoka kwa Ibrahim na mwanae Ismail kwa wivu tu wa mke mkubwaHakuwa mtumwa acha ubishi.
Kama angekuwa mtumwa alipofukuzwa asingeondoka na Ishmael mwanaye.
Sijui kama unaelewa sheria za wakati huo.
Kingine, Hujui Ibrahim alimpata wapi huyo Hajri ndio maana lazima ushindwe huku mbele
Na hata kwa mujibu wa Sheria za kiyahudi ndani ya hiyohiyo bibliaKwa mujibu wa Uislamu Ismail sio mtoto wa zinaa
Waislamu huwa mnaoa mke zaidi ya mmoja hasa hao wenye kipato. Wake wawili wakizaa watoto walau wawili wawili tiyari watoto wanne hapo.Kwa Uisilamu hawezi, ni lazima angalau 2/3 ya Mali yako igawanywe kwa warithi wako unataka usitake, kama Hutaki wapate uigawe kabla hujakufa, ila ukifa Sheria inafuata mkondo.
1/3 ya Mali pekee ndio inagawiwa kwa kufuata wosia, kama Una MTU unamkubali unataka arithi hio ndio ratio yako, awe mtoto wa Nje, mfanyakazi, kidemu chako nyumba ndogo utajua mwenyewe.
Hii inasaidia Sana kwa wale wanaoibuka baada ya MTU kufariki na kudai Mali.
Hii tafsiri ya zinaa ni potofuWAFUASI WA YESU {WAKRISTU}
1. Mtoto wa Zinaa, mlipeana mimba hata kama ina wiki mbili ndio mkaoana, huyo mtoto ni wa zinaa, je anapata urithi?
Hii haina mantiki kwenye mdahalo
Jitahidi uelewe na kuzingatia maelezo ya mtu
Ibrahim hakumnunua hajra kama mke bali mtumwa/mja kazi
Ilipofika uzazi shida kwa mkewe na umri unakombia,kwa kuwa Sheria ya dini Yao iliruhusu, Ibrahim akamuingilia mjakazi wake na automatically akawa mkewe
By the way mahari ni bei ya mke
Wenzio wanaongelea upande wa diniHamna cha mtoto haramu hapo. Hiyo ni kesi ya maslahi tuu kama zamani mtoto wa kwanza au wa mwisho ndiye mrithi.
Mtoto ni mtoto.
Suala la urithi ni suala la Baba na mwenye MALI vile atakavyoona.
Pili sheria za wakati husika
Wewe rejea yako si biblia,hajra aliondoka kwa Ibrahim na mwanae Ismail kwa wivu tu wa mke mkubwa
Wapi Ibrahim alimtoa hajra doesn't matter