Mwanachama humu amenikumbusha nilivyomfanyia jamaa mmoja aliyekuwa anajiona kafika kazini

Kama kufanya kazi kwa bidii kunamletea mtu bonus, marupurupu ya safari, kwa nini na wengine msiongeze ufanisi ili mfaidike?!!
 
Kama kuna ukweli tunaomba fundi wenu atusaidie kuling'oa li ccm madarakani.
 
Uchawi unaweza kukunufaisha lakini daima ni kwa muda. Kila ulonzi unaofanya siku moja lazima utalipa wewe na kizazi chako hata kama lengo ni kufanikiwa kimaisha tu sio kuumiza mtu.

Tatizo vijana wengi sababu ya mtindo wa maisha hawana mahusiano binafsi na Mungu hivyo kukosa ulinzi. Hata kama unaishi maisha ya dhambi, usiache kuomba toba na ulinzi. Issue sio kwenda Kanisani tu, lazima ujue kuomba ulinzi dhidi ya nguvu za giza kwa maneno yako mwenyewe hata kama ni kwa dk 3 ila omba!

Siku ukijichanganya ukaenda kwa mganga kwasababu yoyote ufahamu kuna maisha mapya umeanza na siku isiyo na jina itakugharimu yumkini hata maisha. Sisi wengine tumeshuhudia mengi na mwisho wake.

Bora senti moja moja za kudumu na kizazi chako kuliko mamilioni ambayo siku isiyo na jina kila mbegu uliyopanda kutokana na waganga itayeyuka labda uwe mchawi wa kudumu na kizazi chako chote.





Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Ukiwa karibu na masikini mvivu jiandae kutolewa ndagu ama kurogwa.
 
Kama kufanya kazi kwa bidii kunamletea mtu bonus, marupurupu ya safari, kwa nini na wengine msiongeze ufanisi ili mfaidike?!!
Hahaaa....aliyekwambia ufanye kazi kwa bidii ni nani? Kutana na wenyeji,kamati chafu,pata mbinu na uzoefu ndo ulete habari za ufanisi. Vinginevyo utakula pini LA hatari. Kwani iko nini????
 
Na uzeeni utachizika..utakua unatembea unaongea peke yako..
 
UKifanya kazi Sector za Elimu nasema level ya vyuo huko juu haya mambo ni nnadra maana kinachokupandisha juu ni Elimu yako na usomi wako hakuna kuingiliana...ila huku kwny vi ji kampuni kampuni uswahili mwingi mnoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…