TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Pumzika kwa amani binamu...[emoji25][emoji24]
 
Yani ni mixed feelings, huku nakumbuka mambo yake nacheka, huku nakumbuka tena he is no more machozi yananilenga.... Matola pekee ndio alikuaga kiboko ya warumi, binamu jamani
 
Yani ni mixed feelings, huku nakumbuka mambo yake nacheka, huku nakumbuka tena he is no more machozi yananilenga.... Matola pekee ndio alikuaga kiboko ya warumi, binamu jamani
Ndo na mi kinachonikuta.
Nakumbuka vitu nacheka, af nikikumbuka kuwa hayupo tena, kilio.
Hata sielewi.

Matola alitoshana nguvu na warumi.
Thread tulikuwa tunawaachia wao.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kuna siku alimind akasusa kutoa ubuyu, analalamika anahangaika kupata umbea anaenda hadi mbali kwa garama zake kutafuta umbea analeta halafu tunakuja kumuita muongo, ameenda hadi nyumbani kwa wema kuwachungulia wema na diamond dirishani afu tunamuita muongo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pole sana kipenzi...

Ila huyu marehemu sikumwonaga jukwaa letu pendwa...

Alikuwa anajificha jukwaa gani? Maana yaonekana ni maarufu kwelikweli
Ahsante laaziz.
Huyu alikuwa anakuwepo jukwaa moja tu.
Sijawahi kumuona jukwaa lingine kwa kweli.

Huku kuna kipindi WARUMI alikuwa analead the show.
Umbea wake ulikuwa verified
El classico
Una ushahidi
Una codes.
Una ladha.
Na si unajua mke wenu mi bora niache kupika ngaralimo ila nipate umbea.
Basi dah!!
Hali sio hali wallahi.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Pole sana kipenzi...

Ila huyu marehemu sikumwonaga jukwaa letu pendwa...

Alikuwa anajificha jukwaa gani? Maana yaonekana ni maarufu kwelikweli
Alikuwa anapendelea jukwaa hili, na habari na hoja mchanganyiko.
 
Kwamba alienda kuchungulia dirishani?
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣πŸ₯ΊπŸ€£πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ€£πŸ₯ΊπŸ€£πŸ₯ΊπŸ€£πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ€£πŸ₯ΊπŸ€£πŸ₯ΊπŸ˜­πŸ₯ΊπŸ˜­πŸ₯ΊπŸ˜­πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ˜­πŸ₯ΊπŸ˜­πŸ₯ΊπŸ˜­πŸ₯ΊπŸ˜­πŸ€£πŸ₯ΊπŸ˜­πŸ₯ΊπŸ˜­πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ˜­πŸ₯ΊπŸ˜­πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ˜­.

Hakyamama.

😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭!!
 
Binadamu hatuna control yoyote na maisha yetu. Inatisha sana. Tuishi kwa shukrani sana kwa muda tunaoendelea kupumua...
Rest easy bro.
 
Lala Salama Binamu!!!!
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭.
Daaah
 
Yani mke huna maana kabisa. Umenifanya nicheke kwenye maombolezo.

Basi pole sana. Haya mambo yanauma...

Mtu humjui physically lakini kwa maandishi yake tu anakuwa kama ndugu

RIP kinara wa umbea
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…