yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Apumzike kwa amani Warumi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kabisa mi siamini I wish niwepo msibani kwake!Mwenzangu nilijiuliza huu Uzi mrefu hivi mbona hajaonekana kulikoni?
Kumbe alikuwa ana fight life lake
Tutegemee hivyo Rafiki..
Yani ni mixed feelings, huku nakumbuka mambo yake nacheka, huku nakumbuka tena he is no more machozi yananilenga.... Matola pekee ndio alikuaga kiboko ya warumi, binamu jamaniDaah andjul ali-like comment yangu kwenye uzi wa zamani wa Warumi. Mmh ile nafungua naona RIP kwenye ID ya Warumi; nikakukumbuka ghalfa. Kwa kweli mmepitia mengi na Warumi kwenye hekaheka za umbea. Nakumbuka enzi zile mnachambana na Matola;Warumi anachanganyikiwa na vichambo hadi anajiquote mwenyewe.
Evelyn Salt unakumbuka binamu alivyoenda kulala kwenye msiba wa Marehemu Kuambiana ili tu kutuletea ubuyu? Daah binamu yetu maskini
😂😂😂😂Tukachambwa hadi kwa blog ya sinta jamani
Kipindi hicho mi na warumi ndio tumejiunga jf matola alitusumbua jamani tunachanganyikiwa kabisa tunaenda pm tutumie mbinu gani kumtukana Matola
Halaf ananiambia eee binam dina li matola linachamba hili limbwaaa 😂😂😂
Yani we acha tu kipindi hicho majukwaa mengine yamedoda celebrity's forum ndiko kiko hot had mambo ya team kiba, mond dah, zamani huku celebrity forum kulikuwaga fire sanaAcha kabisa mi siamini I wish niwepo msibani kwake!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Ndo na mi kinachonikuta.Yani ni mixed feelings, huku nakumbuka mambo yake nacheka, huku nakumbuka tena he is no more machozi yananilenga.... Matola pekee ndio alikuaga kiboko ya warumi, binamu jamani
Kuna siku alimind akasusa kutoa ubuyu, analalamika anahangaika kupata umbea anaenda hadi mbali kwa garama zake kutafuta umbea analeta halafu tunakuja kumuita muongo, ameenda hadi nyumbani kwa wema kuwachungulia wema na diamond dirishani afu tunamuita muongo 😂😂😂😂
Ahsante laaziz.Pole sana kipenzi...
Ila huyu marehemu sikumwonaga jukwaa letu pendwa...
Alikuwa anajificha jukwaa gani? Maana yaonekana ni maarufu kwelikweli
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna siku alimind akasusa kutoa ubuyu, analalamika anahangaika kupata umbea anaenda hadi mbali kwa garama zake kutafuta umbea analeta halafu tunakuja kumuita muongo, ameenda hadi nyumbani kwa wema kuwachungulia wema na diamond dirishani afu tunamuita muongo 😂😂😂😂
Alikuwa anapendelea jukwaa hili, na habari na hoja mchanganyiko.Pole sana kipenzi...
Ila huyu marehemu sikumwonaga jukwaa letu pendwa...
Alikuwa anajificha jukwaa gani? Maana yaonekana ni maarufu kwelikweli
Oh thanks. Nilikuwa hata sijacheki hapa ni jukwaa gani.Alikuwa anapendelea jukwaa hili, na habari na hoja mchanganyiko.
Kwamba alienda kuchungulia dirishani?Kuna siku alimind akasusa kutoa ubuyu, analalamika anahangaika kupata umbea anaenda hadi mbali kwa garama zake kutafuta umbea analeta halafu tunakuja kumuita muongo, ameenda hadi nyumbani kwa wema kuwachungulia wema na diamond dirishani afu tunamuita muongo 😂😂😂😂
Pamoja, kikubwa tusherekee uhai wetu kwani kuna siku aliyetupa atauchukua. Apumzike mwamba.Oh thanks. Nilikuwa hata sijacheki hapa ni jukwaa gani.
Yani mke huna maana kabisa. Umenifanya nicheke kwenye maombolezo.Ahsante laaziz.
Huyu alikuwa anakuwepo jukwaa moja tu.
Sijawahi kumuona jukwaa lingine kwa kweli.
Huku kuna kipindi WARUMI alikuwa analead the show.
Umbea wake ulikuwa verified
El classico
Una ushahidi
Una codes.
Una ladha.
Na si unajua mke wenu mi bora niache kupika ngaralimo ila nipate umbea.
Basi dah!!
Hali sio hali wallahi.