TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Naona habari hii kuna likes 100...najiuliza kunapotokea tangazo la kifo, mtu au watu wanaolike ni kwamba wamefurahia kifo cha mhusika? Nadhani mabosi wa jf sijui mnawaita mods wawe wanafuta like kwenye matangazo ya vifo.
Like haimaanishi kua umependa ulichokisoma au umefurahia kilicho tokea,

Like ina tumika pia kumjulisha mtoa mada au aliye comment kua habari/comment umeisoma "Noted"
 
Itabidi nijitolee kidogo kuja jukwaa hili nitoke kwanza kule intelligensia.
R.I.P warumi
 
Nakumbuka aliwahi weka picha humu ndani lkn haikuonyesha sura.
 
Mmhh mpaka nimeishiwa nguvu.
Alikuwa ananinspire sana na jinsi anavyochamba watu wanaomvuruga. 😔
 
Last time nme onana na uyu jamaa 2020..R.i.p kwake
 
Achana na picha mimi nina album yake, nina id yake ya instagram na fb.
Lakini je vya nini?ukiitaka picha nenda msibani wanafamilia watakuonyesha.
Sasa marehem anafichwa kwa kosa gani? Anonymous kwamba unaendelea kuishi isije kuletea shida huko mbele, sasa si katuacha picha tumuage sio kila mtu yupo dar kufika kwenye jeneza na kumuaga kwa kumuona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…