TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Naona habari hii kuna likes 100...najiuliza kunapotokea tangazo la kifo, mtu au watu wanaolike ni kwamba wamefurahia kifo cha mhusika? Nadhani mabosi wa jf sijui mnawaita mods wawe wanafuta like kwenye matangazo ya vifo.
Like haimaanishi kua umependa ulichokisoma au umefurahia kilicho tokea,

Like ina tumika pia kumjulisha mtoa mada au aliye comment kua habari/comment umeisoma "Noted"
 
Tangu mdau wetu aliyekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha jukwaa letu halipoi, ndugu warumi kututoka siku ya leo. Ni huzuni kwetu sote na hatukutegemea kupata taarifa hii, labda tungeweza kumsaidia lakini yaliyopita si ndwele.

Lakini je, ni nani ataweza kuvaa viatu vyake? Kwa kweli tuzidi kumuombea mwenyezi Mungu amlaze mahali anapostahili.

~Raha ya milele umpe ee bwana, na mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani. Amen.

Tutakukumbuka daima Mr.

" MJI MZITO HUU..!" by warumi

R.I.P commander!✊👮
Itabidi nijitolee kidogo kuja jukwaa hili nitoke kwanza kule intelligensia.
R.I.P warumi
 
Mmhh mpaka nimeishiwa nguvu.
Alikuwa ananinspire sana na jinsi anavyochamba watu wanaomvuruga. 😔
 
Achana na picha mimi nina album yake, nina id yake ya instagram na fb.
Lakini je vya nini?ukiitaka picha nenda msibani wanafamilia watakuonyesha.
Sasa marehem anafichwa kwa kosa gani? Anonymous kwamba unaendelea kuishi isije kuletea shida huko mbele, sasa si katuacha picha tumuage sio kila mtu yupo dar kufika kwenye jeneza na kumuaga kwa kumuona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom