TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Daah ila kipindi kile, acha tu. Mmenifanya nimkumbuke na mrembo by nature na Sepenga wake
[emoji38][emoji38][emoji38]acha kabisaa...nammis sana binamu Mungu ampe pumziko!kipindi kile ilikua hot Sana'a!warumi na matola kaahh!acha kabisa...

Na ile ya kuambiana ndo aliua bendi

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Daah mnakumbuka kipindi kile Lucy Komba ndiyo kafunga ndoa na mzungu wake, kavaa gauni kama anapata komunio, na akaingia na Samsung yake kwenye boat. Jamani zile comments
Yani ni mixed feelings, huku nakumbuka mambo yake nacheka, huku nakumbuka tena he is no more machozi yananilenga.... Matola pekee ndio alikuaga kiboko ya warumi, binamu jamani
 
Duh. RIP mtu wa ubuyu wa JF. Tutammisi sana
 
Wacha tuanze kumbembeleza. Yaani i can imagine angeweza kusoma hizi comments leo jukwaa lilivyozizima ; angetuchamba "mbwa nyie, niliwaambia hakuna warumi, mmeamini eeh".
 
Word !!
 
Apumzike kwa amani warumi . Tutamkumbuka na gossips zake za celebrities
Mpk we umerudi.

Kweli Warumi is no more.
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Kwanini umenichekesha na watu tuna msiba? Dah tena tulimpump aende kulala msibani na akaenda kweli ili tu alete ubuyu!

We thank God for his life.
Na akaenda kweli.
Asbh yake sasa, maaaaamaaaah!
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Daaaah.
 
Kwa kweli japo wengine hatujawahi kufahamiana naye nje ya hapa; ili atugusa nyoyo zetu kwa umbea wake exclusive.
Yaniiiii, mi nilishajitengenezea na sauti yake kichwani, nilishatengeneza uso wake.
Af nikawa very much ok akiwa tha anony.
Dah, kesho nikamuage nimuone at last rafiki.
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Matthew 5:22
Bali mimi nawaambieni, Kila amwoneaye ndugu yake hasira itampasa hukumu; na mtu akimfyolea ndugu yake, itampasa baraza; na mtu akimwapiza, itampasa jehanum ya moto.
We lete hashuo za ng'onda.
Endelea.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…