Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38]acha kabisaa...nammis sana binamu Mungu ampe pumziko!kipindi kile ilikua hot Sana'a!warumi na matola kaahh!acha kabisa...
Na ile ya kuambiana ndo aliua bendi
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Hahaa hivi ndiyo tuliambiwa Dina anauza samaki Mwanza; tukawa tunamtania atutumie samaki. Daah aisee[emoji38][emoji38]Unakumbuka kuchambwa ka sinta kule hahaaaa!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Na kweli ule umbeya woote kule hakutia neno kiasi ikawa inatushangaza kumbe alikuwa anapigania afya yake........pole Sana kwa familia halisi na familia ya jf hususani wanaubuyuNdo maana hatukumuona kwenye umbea kule kumbe alikua anafight na maisha yake
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Yani ni mixed feelings, huku nakumbuka mambo yake nacheka, huku nakumbuka tena he is no more machozi yananilenga.... Matola pekee ndio alikuaga kiboko ya warumi, binamu jamani
Duh. RIP mtu wa ubuyu wa JF. Tutammisi sanaKwa masikitiko makubwa ninapenda kuwapa taarifa ya mdau mwenzetu humu anayeitwa warumi amefariki usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa anapambana kwa ugonjwa wa figo.
Warumi alikuwa kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 29.
Taarifa hii nimepewa na dada yake mda huu, msiba unaelekea kwao Tegeta .
UPDATE:
Msiba upo Tegeta Nyuki, ukifika Stand unachukua boda au bajaj unawaambia wakupeleke nyumbani kwa Kiboko, maana msiba upo opposite na utaona geti jeusi liko wazi - ingia.
Msiba utasafirishwa kwenda Mbeya, Nonde Mabatini. Mipango inapangwa, taarifa zaidi zitakuja jioni.
Nipe code Boss , tufutane machozi 🥵Una uhakika alikuwa ulichoandika?
Wacha tuanze kumbembeleza. Yaani i can imagine angeweza kusoma hizi comments leo jukwaa lilivyozizima ; angetuchamba "mbwa nyie, niliwaambia hakuna warumi, mmeamini eeh".Kuna siku alimind akasusa kutoa ubuyu, analalamika anahangaika kupata umbea anaenda hadi mbali kwa garama zake kutafuta umbea analeta halafu tunakuja kumuita muongo, ameenda hadi nyumbani kwa wema kuwachungulia wema na diamond dirishani afu tunamuita muongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Word !!mkuu mbn humu JF tunafahamiana wengi tu ni wewe tu km utaamua kuishi safi na wengne
mfn. mm nilimfahamu mshanajr humu jamiiforum
lkn tulikuja kuwa washkaji nikaifahamu mpk familia yake na mpaka kwangu ninapoishi alikuja
ninachokushauri usiwe mropokaji wa maneno ya hovyo kwa watu
hapo awali mm na mshana tulikuwa hatuelewani nilikuwa namuattack kwa ID nyingne na siyete tu wengi tu lkn mwisho akaja kuwa mshikaji
mpk leo ile ID siitumii ilikuwa ni ya ujinga mwingi
humu JF kuna watu wanaroho nzuri mno
ambapo serious ikatokea ukwakwama ni rahisi kusaidiwa
hvyo nawashauri WANAJF wenzangu ikiwa mmetofautiana kimtazamo
msiwe na maneno ya kukwazana kwa mwezako humjui nje ipo siku utahitaji msaada ambao yeye ni rahisi kukupatia au kukupa connection
Sanaaaa.Hahaha matola alikuwa anamchanganya sana binamu, hadi anajikuta anajiquote mwenyewe
Kwanini umenichekesha na watu tuna msiba? Dah tena tulimpump aende kulala msibani na akaenda kweli ili tu alete ubuyu!
We thank God for his life.
Na akaenda kweli.Kwanini umenichekesha na watu tuna msiba? Dah tena tulimpump aende kulala msibani na akaenda kweli ili tu alete ubuyu!
We thank God for his life.
Yaniiiii, mi nilishajitengenezea na sauti yake kichwani, nilishatengeneza uso wake.Kwa kweli japo wengine hatujawahi kufahamiana naye nje ya hapa; ili atugusa nyoyo zetu kwa umbea wake exclusive.
We lete hashuo za ng'onda.Matthew 5:22
Bali mimi nawaambieni, Kila amwoneaye ndugu yake hasira itampasa hukumu; na mtu akimfyolea ndugu yake, itampasa baraza; na mtu akimwapiza, itampasa jehanum ya moto.
acha tu ndugu. Ni pengo sana kwa JF kwenye tasnia ya chit chatReast Easy.....Kweli dunia tunapita.
Nilipenda sana uandishi wake.
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭