TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Apumzike kwa Amani inauma sana aisee haya Maisha yetu ni mafupi sanaa...!!
 
Hahaha binamu umekumbuka vizuri sana jamani: Lucy alikoma siku zile mweeh
Ahahahahaha Lucy aliipata fresh that time. Binafsi kipindi kile nilizijua habari za mastaa kupitia kwa binamu. Ndoa ya Irine na ndikumana aliiadithia hapa utadhani yeye ndio alikuwa mshenga, alikuwa anachukia mtu mwingine akileta umbea hapa kabla yake
 
1 Peter 2:1
Kwa sababu ndiyo mapenzi ya Mungu, kwamba kwa kutenda mema mzibe vinywa vya ujinga vya watu wapumbavu;


Unaeza ukanionyesha chuki niliyoionyesha kwa hao unaodhani nimewachukia?
Kuna qoutes zangu kadhaa zipo hata sasa, ni qoute sentens ya chuki niliyo type kwa mtu.
Well.
Sijafikiri unavyofikiri ww,
Unaefikiri nashuhudia au nahubiri ni ww,sio mimi.
Na hiyo damage ni dhana ya kwako si ya kwangu.

Lkn pia Naomba unionyeshe nlipo onyesha chuki kwa hao unaotaka nionyeshe upendo kwao.
Kuna quotes kadhaa ni me type pale nilipo mtukana au kuonyesha chuki yeyote unaeza ni quote tuanzie hapo.
Kama hamna basi ni mnafiki,endelea na maombolezo kisha uje uhubiri kma unavyotaka ww.
 
Dah umemaliza maana wengi tu wakristo na maandiko tunasoma, huyo atakuwa mlokole asiye na furaha, bitter anayejiona ni msafi kaxi kuhukumu wengine
 
Warumi alikuwa na character yake wallah...
Go well warumi...ulijua kuchangamsha jukwaa kwa umbea...
 
Hahaha he was so fun maskini daah; He will surely be missed
 
You are welcome Mtumishi. Huyo jamaa anaboa sana. I couldn't resist. Kwenye msiba yeye ndo amekazana kuhukumu watu na kujivuna kiimani. Who does that?
Hekima Mtumishi: hekima.

Yakobo 1:5 Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa Mungu, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa.
 
Onyesha kosa usihukumu kosa! Unachokifanya kwenye uzi huu ni kuhukumu ambapo ni kazi ya Mungu so unataka kujiringanisha na Mungu technically Unakufuru na uko unajichotea dhambi za kutosha.

Sad enough unapindisha maandiko kwamakusudi kabisa ili kulasimisha upuuzi wako. Mungu anasema hakuna mkamilifu na kutokuwa wakamilifu ndio kunatufanya tuwe wanadamu. Sasa wewe usie na dhambi upo duniani kufanyeje si ungekua na malaika huko.
Kama Marehemu alimua mkosaji hujui nyakati za mwisho wa uhai wake aliagana nini na Muumba wake...Trust me kuna uwezekano walokole kujaa motoni kuliko wapagani ajili ya unafki,majivuno na kujiona first class mbele za Mungu

You're not helping anything so you better stop or you'll be stopped...!!
Lastly...Wote tuombe mwisho mwema maana ndio kinacho-matter since wote tupo wakosaji na wadhaifu mbele za Muumba
Wafilipi 3:12-13
[12]Si kwamba nimekwisha kufika, au nimekwisha kuwa mkamilifu; la! Bali nakaza mwendo ili nipate kulishika lile ambalo kwa ajili yake nimeshikwa na Kristo Yesu.
[13]Ndugu, sijidhanii nafsi yangu kwamba nimekwisha kushika; ila natenda neno moja tu; nikiyasahau yaliyo nyuma, nikiyachuchumilia yaliyo mbele;
 
Apumzike kwa amani ndugu yetu.
Sina kumbukumbu kama aliwahi kututonya kuwa anaumwa.
Natambua ugonjwa ni privacy ila yawezekana angesema, JF ni familia kubwa, kuna madaktri na wenye moyo wa kutoa. Labda tunge refusha maisha yake japo kwa muda mfupi.
RIP warumi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…